omary khamis
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 402
- 77
Hio apo mkuuTatizo la kwanza mwanga usipopunguzika ni kudownload graphics drivers. Nenda my computer kisha right clicl kisha properties halafu soma full.model ya processor ieke hapa.
Angalia vizuri kama hujakosea spelling sio 2630QM?
Angalia vizuri kama hujakosea spelling sio 2630QM?
2nd gen zote unaweza tumia hizi
Downloads for Intel[emoji2400] Core[emoji769] i7-2630QM Processor (6M Cache, up to 2.90 GHz)
Download hizo intel HD graphics drivers
Na hua ina ukubwa gan mkuuAngalia vizuri kama hujakosea spelling sio 2630QM?
2nd gen zote unaweza tumia hizi
Downloads for Intel[emoji2400] Core[emoji769] i7-2630QM Processor (6M Cache, up to 2.90 GHz)
Download hizo intel HD graphics drivers
Angalia vizuri kama hujakosea spelling sio 2630QM?
2nd gen zote unaweza tumia hizi
Downloads for Intel® Core™ i7-2630QM Processor (6M Cache, up to 2.90 GHz)
Download hizo intel HD graphics drivers
Sidhani kama zote ulizozitaja ni official toka microsoft, ila windows 10 ni bora zaidi kwenye games sababu ya technologies mpya.Mkuu ivi
mkuu ivi windows 10 gaming edition and windows 7 rampage gaming edition ipi bora
Mkuu alafu nikitaka ku-install pes 17 inaniandikia kama picha inavoonesha apoSidhani kama zote ulizozitaja ni official toka microsoft, ila windows 10 ni bora zaidi kwenye games sababu ya technologies mpya.
Unaweza tuma picha ya hio setup?Mkuu alafu nikitaka ku-install pes 17 inaniandikia kama picha inavoonesha apoView attachment 1044398
Sent using Jamii Forums mobile app
CHIEF,Angalia vizuri kama hujakosea spelling sio 2630QM?
2nd gen zote unaweza tumia hizi
Downloads for Intel[emoji768] Core[emoji769] i7-2630QM Processor (6M Cache, up to 2.90 GHz)
Download hizo intel HD graphics drivers
Nenda my computer kisha right clicl kisha properties halafu soma full.model ya processor ieke hapa.
- Ndio iwapo processor ni sawa.Hizi unaweza kutumia na kwenye HP Probook
Mkuu namimi pc yangu ina matatizo hayo hayo haipunguz wala kuongeza mwanga, ni Lenovo na processor yake jina niAngalia vizuri kama hujakosea spelling sio 2630QM?
2nd gen zote unaweza tumia hizi
Downloads for Intel[emoji2400] Core[emoji769] i7-2630QM Processor (6M Cache, up to 2.90 GHz)
Download hizo intel HD graphics drivers
Mkuu namimi pc yangu ina matatizo hayo hayo haipunguz wala kuongeza mwanga, ni Lenovo na processor yake jina niAngalia vizuri kama hujakosea spelling sio 2630QM?
2nd gen zote unaweza tumia hizi
Downloads for Intel[emoji2400] Core[emoji769] i7-2630QM Processor (6M Cache, up to 2.90 GHz)
Download hizo intel HD graphics drivers
Unaweza taja full model ya hio lenovo?Mkuu namimi pc yangu ina matatizo hayo hayo haipunguz wala kuongeza mwanga, ni Lenovo na processor yake jina ni
AMD E2-1800 APU with Radeon(tm) HD Graphics 1.70GHz
Msaada wako please
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan mkuu hapo mwanga hauwez ukaongeeka endapo graphic hazipo updated unachotakiwa kufanya apo elekeza mshale wako kwenye icon ya my computer then right click af ingia MANAGE then utaona list pale ingia DEVICE MANAGER afu utaona kitu pale DISPLAY ADAPTER ndo inatakiwa update iyo kitu.. au njia nyingine ingia Google tafuta software inaitwa DRIVER BOOSTER. Install iyo softwer yenyew ukiwa na mordem au wifi yenyew ita find izo driver then ita install uta restart PC yako kitu kitakuwa done jarib iyo njia ni rais sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app