Dell desktop computer iCore 7 inauzwa

Dell desktop computer iCore 7 inauzwa

Kiberenge

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
1,104
Reaction score
1,035
Vigezo;processor iCore 7,RAM 8GB,DVDWRITTER,HDD 500 na HDMI cable. Mashine ipo full pamoja na flat monitor inch 19
kwa mawasiliano zaidi ni PM
 
unauza kiti halafu bei unafanya siri,we wa wapi ndugu,soma tips za marketing kidogo
 
sasa kama bei zenyewe mpaka pm, hiyo biashara mbona haijiamini?
 
jaman laki 6 na nusu wakuu

Wekamo na picha basi........

dell-xps-8500-lcd-bundle-et.jpg
 
Back
Top Bottom