Deleted Files/Folders Katika Computer, Hupelekwa Wapi?

yule mwenye wazo lilea lionekana mjinga kipindi kile ila sijui amekimbilia wapi tena,?
 

Ume eleweka mkuu!
 
Mimi nawashukuru wataalam wa IT kwa msaada wenu. Hatimaye nifanikiwa kurecover document zangu zote za muhimu ambazo nilikuta dogo amefuta kutoka kwenye external yangu.

Procedure ilikuwa hivi, niliomba humu wakanitumia program attachment lakini nilipo download ziligoma. Ikabiidi ni download Pandora kupitia Google na nikafanikiwa na kuinstall kwenye pc yangu. Nimefanikiwa nawashukuru sana wote kwa mchango wenu.

Abarikiwe aliyeanzisha JF coz inanipa maujuzi mengi sana. Kwa kweli sasa hivi nikikaa najitahidi sana kuchangia karibu kila sector coz of JF.

Thank u very much be blessed all
 
yule mwenye wazo lilea lionekana mjinga kipindi kile ila sijui amekimbilia wapi tena,?

alishindwa kujitetea, ila hii mada tayari inaweka wazi kuwa inawezekana kustore zaidi mpaka infinity. Ila tu hawajaamua kuwezesha
 
alishindwa kujitetea, ila hii mada tayari inaweka wazi kuwa inawezekana kustore zaidi mpaka infinity. Ila tu hawajaamua kuwezesha

Hapana Mkuu, hauwezi kuwa na unlimited storage. Nafasi inapokosekana katika HDD computer ina lazimika kuandika data juu ya (deleted data) na hivyo hiyo nafasi inaregister kuwa imetumika!
 

Kweli mkuu watu bado hawajaumiza vichwa kiasi cha kutosha,yaani nikiangalia youtube na video walizozihifadhi na haya mambo ya storage capacity hata cpati picha
 
Maelezo yako sahihi mkuu,mimi kinachonichanganya ukishafuta ktk recycle bin kwanini uki2mia recovery program una uwezo ya kuyarudisha wakati ushafuta maana yake kuna link kati ya huko yalipo na comp.

kitu chochote kilichoingizwa kwenye computer huwa hakitoki kamwe kinabaki katika hdd nakuifadhiwa hata ukiformat yanaenda ktka hdd na yanakuwa kwa format nyingine siyo window,exel,pdf hapana yanakuwa katika mfumo wa 01010

hivyo ukiweka software ya kuretrive utayapata nakama ya mda mrefu yanaweza kuwa hayasomeki mpaka uweke soft ya kuyaformat to original state ndomaana tunaambiwa ukiona unataka kutupa comp lazima uismash
 
simple but clear!!!! i like this comment
 
Binafsi nakushukuru sana na nimeelimika na ushauri,ukweli wewe ni Mwalimu mzuri.
 
Kwa maelezo marahisi kidogo,ni kwamba all operations in any digital device are a series of translations of binary numbers,0 and 1,where 0 means false, off et cetera, while 1 means true,on and so forth,therefore, a text,"

THESE WORDS", for example, can have a very long combination of 0 and 1, depending on a language therefore, once that text is deleted, it means the arrangement is switched to 00000....,which technically,means OFF!,or DELETED!
 

Hao wanaotafuta computer za laki 3, mbona wako wengi hapa jamvini! Ebu angalia hapa:
Natafuta min Laptop kwa 300000 tu!
 
KakaKiiza,

If I were to think big (In IT way), ningeanzia hapo ndugu. Changing format to reduce size of data souds too logical. Kwangu hii ina-bring more sense.

Umenichanganya tu hapo kwenye zeros and ones, nimechanganyikiwa kwa sabubu nilikaririshwa kuwa all computer data are stored in binary language (0s,1s).

So bila kujali form ya taarifa (information) ambayo ni matokeo ya computer processing ie. pdf, mp3, mp4 etc data zote zipo katika binary language and hence the CPU, specifically ALU (the executing part of the CPU) can process the data in question and provide useful information be it in in any form you'll call it.

Nimeshindwa kuendeleza mawazo yangu kutoka pazuri ulipoishia, kujibu hoja, data zinaenda wapi zikifutwa kutokana na uvivu wa kufikiri na wepesi wa kuridhika (I might change though).

You deserve my thanks KakaKiiza...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…