Delete CCM Kuwavua Wenyeviti Watatu Wa Vitongoji Magu Kesho

Mkutano mkubwa delete futa CCM Magu. Kesho tutakuwa viwanja vya sawaka kijiji cha Sawaka kata Sayaka wilayani Magu.Janeth Rithe,Manase Bussah,Renatusi Pamba pamoja na mwanadada jasiri Aneth Munuo watakuwa wakiendelea na operesheni futa CCM Magu.

Hii itaambatana na kuwakabidhi kadi za CHADEMA wenyeviti wa Vitongoji wa CCM watatu. Hapo Sayaka

Wote mnakaribishwa ni kesho saa 8:00.

Mungu awabariki sana mie Niko kigoma
 
Magu ccm wajue mwisho wao umefika kati ya mitaa 18, chadema 14,ccm 4 ,wanapowavua,tunawakaribisha chadema tuwavue Madiwani na Mbunge walioshindwa kujenga hata rami kutoka Stendi kwenda Hospitali ya Magu,achilia mbali kwenda Mahaha tangu 1961 hadi leo.ccm imejenga daraja la simiyu tu aiibu
 
Umenena vema kabisa ccm kinapumulia mashine
 
Mkutano mkubwa delete futa CCM Magu. Kesho tutakuwa viwanja vya sawaka kijiji cha Sawaka kata Sayaka wilayani Magu.Janeth Rithe,Manase Bussah,Renatusi Pamba pamoja na mwanadada jasiri Aneth Munuo watakuwa wakiendelea na operesheni futa CCM Magu.

Hii itaambatana na kuwakabidhi kadi za CHADEMA wenyeviti wa Vitongoji wa CCM watatu. Hapo Sayaka

Wote mnakaribishwa ni kesho saa 8:00.

Wabeja namhala
 
tutaomba na picha jinsi hao wenyeviti wanavyovua gamba na kuvaa gwanda.......
Ikiwezekana ni vyema wakachoma na jezi za SISIEM mbele ya hadhara itapendeza pia
 
Back
Top Bottom