wadau naomba msaada,deki yangu ya DVD imegoma kuwaka ile sehemu inayoandika NO DISC AU DAKIKA wakati cd inatembea.Ukiwasha moto unaingia lakini hiyo sehemu imegoma kuwaka na hivyo deki haifanyi kazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.