Hivi unaelewa maana ya hilo neno ubaguzi mbona nyie majeneza fc mnapenda kukuza mambo anachofanyiwa huyo mzungu hakina tofauti na cha kina yikpe,molinga,kindoki mbona sisi hatukusema mnawafanyia ubaguzi huo ndyo utani.mnatafuta pa kutokea baada ya kuwafilimba kwa mkapaBaada ya mechi ya ngao ya jamii, watu wengi wamekuwa wakimshambulia mchezaji mpya wa Simba toka Serbia na kudai kuwa hana kiwango cha maana.
Wengi wamediriki kusema alikuja na mzigo wa jezi wa VB na Simba wakamsajili.
Wengi wa wanaomsakama Dejan ni washabiki wa Yanga.
Kwa upande mmoja wengi wa washabiki wa Simba wanachukulia kitendo hicho kama ni ubaguzi hasa wanaposikia akitaniwa kwa kuwa tu ni mzungu.
Jambo moja ni wazi kuwa kama masimango hayo yatachukuliwa vyema, basi ni njia nzuri ya kumjenga na kumuimarisha Dejan.
Kuna mifano mingi ya wachezaji waliopitia ubaguzi lakini wakafanya mambo makubwa... Kwa uchache niwataje Pele, Drogba, Okocha, Dani alves, Etoo na Thiery Henry.
Kwa sasa mashabiki wa Simba wawe watulivu wamuache Dejan aelekeze hasira anazopata kwa kubaguliwa na wanaUtopolo wakiongozwa na Zeruzeru wao.
Kuna siku wataimba nyimbo za kumsifu "mzungu"
Kwani Sope bin Takadini siyo zeruzeru?Wewe kumuita Haji Bugatti de Manara "Zeru Zeru" unajiona upo sawa?
Punguani Wahed.
ndy ni Zeru zeru AkA mzungu masikin Andamana bc kama inakuumaWewe kumuita Haji Bugatti de Manara "Zeru Zeru" unajiona upo sawa?
Punguani Wahed.
Wewe ni JK ama Sunday Manara? Nimesema kuwa washabiki wa Simba "wanahisi" kuwa kitendo hicho ni ubaguzi.... Ajabu unanishambulia bila sababu.Hivi unaelewa maana ya hilo neno ubaguzi mbona nyie majeneza fc mnapenda kukuza mambo anachofanyiwa huyo mzungu hakina tofauti na cha kina yikpe,molinga,kindoki mbona sisi hatukusema mnawafanyia ubaguzi huo ndyo utani.mnatafuta pa kutokea baada ya kuwafilimba kwa mkapa