Degree za namna hii bado zinaendelea UDSM jamani???

Tutafika tu.
Kuna mtu aliwahi niambia 'mjinga akierevuka, mwerevu yuko matatani'

Sasa naanza kuona hiyo, waerevu mnaanza kuona matata kwa wanawake wengi kuweza graduate vyuo vikuu.

Imagine ni binti yako, utasema haya? Si kila mwanamke aliyemaliza chuo kikuu kapata kwa chupi hiyo nakataa kabisa ni wachache sana waliovua chupi ambao wengi wao zilikuwa ziko mikononi kwa mtu yeyote si lecturer tu.

Dada zetu wa vyuoni mpo hapo? Kazi kwenu kusikiliza ushauri na kuutekeleza au kupuuza yakukute
 
mkuu, huo ni mfumo kwahiyo usitegemee kuwa huo mchezo umekwisha. ni kama tu sehemu ambayo watu wanakula sana rushwa nawe ukiingia hapo lazima ule rushwa
 
Mabinti jiangalieni mnaliwa ili GPA ziwe juu halafu ajila zenyewe zinabana.Siku hizi maafisa waajili wameshtuka kutokana na ajabu wengi wa wasichana wazuri wana ma GPA makubwa alafu kwenye interview hawafanani na GPA zao sasa sielewi na huko napo uvuliwe chupi alafu ndo upewe kazi yaani hata ukipata kazi tena siku umeshindwa task fulan kutokana na kitengo ulichopangwa inabidi uvuliwe tena chupi.JAMANI WEKENI DESTURI YA KUKANA KUDHALILISHWA KIJINSIA KWA KUJITUMA KUANZIA NGAZI YA MASOMO HADI MAKAZINI.(Yaani muwe nondo namaanisha)
 
Bachelor of tiot
njoo taifa ule raha ,mpwa naambiwa na mkuu mmoja wa tff leo afi mtu refa ashawekwa sawa timu lazima itinge fainali ingawa bingwa ni rwanda wanadai aijalishi leo wachezaji wameshauriwa kujimwaga eneo la penati kama wendawazimu naipenda tff naipenda afrika

huu ndo ukweli! Kama unaijua vema nchi yetu hushindwi kuyatabiri ya kesho na ikawa kweli
 
Nakwambiwa aliepitia na prof chachacha loh kazi mnayo wala nisawafiche
 
Si digrii tu. Hatu ubunge wa viti maalum, ujaji, ubalozi na vyeo vingine vyenye mshiko. Unategemea nini iwapo kiranja mkuu mwenyewe ni chovya chovya? Kama tunamzushia mwabie kiranja wako mkuu wa kaya alete akina mama aliozaa nao huo utitiri wa watoto wanaoibuka kila uchao pale Iku sorry kukuu. Ukiishi kwa upanga utakufa kwao. Tatizo la nchi yetu ni kila mtu kutaka kuukata bila kuwa na kisu cha kufanyia hivyo. Angalia hata wapinzani wanavyoogopa kuingia mitaani kwa kuogopa mabomu lakini bado wanataka dezo ya kupata haki. Think thrice guys.

Kwa hiyo hapo unamaanisha mkw'ere anafanyaje?
 
Last year kuna prof wa pale TAASIS YA TAALUMA ZA KISW(TATAKI),alimwambia my friend
'WE MWANAUME UTANIPA NINI?NENDA KAP0NDE KOKOTO WALE WENZIO NI WANAWAKE'.issue ilikua ni kupata nafas ya kwenda Kusoma masterz na kufundisha KISWAHILI U.S.A,
 
Wajua UDOM wanachuo bila kujali jinsia zao wanazipataje? Ulizia huku unazungumzia maprof wanatomasa pale wak w idar ndo wanwp kwa ......
 
Wapo wanaopata za ukweli lakini, ni wale tu! uzuri sio sifa yao. Na kwa wazuri, matatu; kupata gpa kubwa ya chupi, kupata ndogo kabisa kama 1.9 au wakudisq. Noma hao jamaa!
 
bwana awe na maprof/dk/na wote watomasao dadazetu kwa njia ya kuwasaidia
moto wa milele uwape ee bwana na mwanga wa motoni uwaangazie
wapumzike kwa amani walio hai na walitangulia mbeele za jehanum

AMEEEEEEEEEEEEEEEENNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNN
 
bwana awe na maprof/dk/na wote watomasao dadazetu kwa njia ya kuwasaidia
moto wa milele uwape ee bwana na mwanga wa motoni uwaangazie
wapumzike kwa amani walio hai na walitangulia mbeele za jehanum

AMEEEEEEEEEEEEEEEENNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNN

Ameeeeeeeeeeeennnnnnnnnn! Walaaaaaaaniwe hao
 
Back
Top Bottom