Degree ya Pharmacy vs degree ya Doctor wa mifugo

robertmnyang

Member
Oct 6, 2016
62
19
Ningependa faham degree ya pharmacy na degree ya doctor in animals ni ipi inatija in terms of employment from formal and informal sectors also kwenye self employment.
 
Ningependa faham degree ya pharmacy na degree ya doctor in animals ni ipi inatija in terms of employment from formal and informal sectors also kwenye self employ
 
Attachments

  • 1484206107888.png
    1484206107888.png
    192.7 KB · Views: 161
Kama ni serikarini wote mnaanza na mshahara wa TGS E 955,000/=kama basic Ila afya kuna allowance nyingi tofauti na mifugo labda uwe mkuu wa idara
 
Kama ni serikarini wote mnaanza na mshahara wa TGS E 955,000/=kama basic Ila afya kuna allowance nyingi tofauti na mifugo labda uwe mkuu wa idara
Uko enzi za zamani sana mkuu.Mwenye shahada ya pharmacy halipwi hivyo try to update your info

Hao vets hao sina uhakika though nadhani wako sambamba na madaktari wa binadamu
 
Achana nazo zote, kasome Bs in nursing,iko vzur balaaa

Bs in Nursing miaka minne,mshahara below milioni moja,Bpharm miaka minne,mshahara above milioni,,,unatumia kigezo gani kusema Nursing ni nzuri mkuu?Tuelimishane
 
Ningependa faham degree ya pharmacy na degree ya doctor in animals ni ipi inatija in terms of employment from formal and informal sectors also kwenye self employment.
Kwa nini unacompare pharmacy na takataka.
Animal science ukoompee na EDUCATION.
sikunyngne cOmpare Pharmacy na Madokta 6.
 
Ningependa faham degree ya pharmacy na degree ya doctor in animals ni ipi inatija in terms of employment from formal and informal sectors also kwenye self employment.

Find your own purpose .soma unachokipenda ,do what you love most then mambo ya opportunities na tija will take care of itself utatengeneza pesa ukifanya unachokipenda zaid kuliko kusomea kitu sababu kina lipa,time changes brother,in next 5 yrs mambo hayawezi kua kama ulivodhan au unavodhani sasa .Just do what you love ,be you ,be yourself .
 
Thnks bro
 
Kumbe daktari wa wanyama amesoma animal science

Punguani wahed
Nafikiri haelewi bsc animal science ni miaka mitatu wakati BVM (udakari wa mifugo)ni miaka mitano na serikarini first appointment BVM TGS E animal science ni D
 
Acha kupoteza mda
Chukua hzo hela za ada na matumizi zichanganye ingia mtaani saka hela....kipindi cha magu hiki Mwishoe utumbuliwe sahv hakuna kuiba hata dawa....huwezi nielewa kwa saaa ila ipo siku utakumbuka hiki
 
Lakini pia huwezi kushauriwa vizuri kama hujaongea wewe unategemea nini baada ya kusoma (malengo yako ni yapi) kwa jinsi swali lako linavyouliza kila mtu atakujibu jinsi anavyojisikia au kwa jinsi anavyoona au kwa jinsi anavyoipenda kada husika... Ni vyema ukasema unategemea nini au unapenda upate faida gani baada ya kumaliza shule. Kama ni maslahi au mshahara... Ingawa ukubwa ma mshahara sio kufanikiwa... Tafuta jibu la nini unataka ukipate baada ya kumaliza shule kisha rudi uombe msaada tena basi hakika utapata majibu kuwa nini ukasome.
 
Back
Top Bottom