Wakuu mfano MTU ana degree ya accounting and finance kutoka open university anaweza pata kazi kama mwenye degree kutoka full university? Au akiomba kazi anaitwa kwa interview kama wengine?msaada plz
Degree ziko sawa lakini hadhi za vyuo haziko sawa kwa hiyo baadhi ya waajiri wanaangalia hilo. Ni kama tu ambavyo bia ya holiday Inn inatofautiana bei na bia ya tandale kwa mama muuza.