Degree procurement ni miaka mingapi?

cattoon

Senior Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
142
Reaction score
43
Kwa yeyote anaejua swala hili anijuze kama nitaanza certificate nikitaka kuchukua degree ni miaka mingapi?
 
Hata certificate hujaanza unaulizia degree[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Hahahahah.dogo anazingua wengine ndo kwanza wanapiga diploma wanawaza jinsi ya kupata GPA ya bachelor.yeye certificate anapiga yowe[emoji53]

Jokes dogo,ila kaza dogo usiwaze
 
TANGAZO KWA FORM SIX WOTE.


Kama una ndugu yako amemaliza form6 na hajafanikiwa kujiunga na chuo Lakini yuko home anajua kuongea Kiswahili na kiingereza na yuko tayari kufanya kazi kwa mshahara wa laki 8 msalimie Sana Mwambie Tuko pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…