Definition of a rogue President.

Mchungaji Fredy Njama wa Usharika wa Karanga, KKKT Dayosisi ya Kaskazini, Moshi amekamatwa na Polisi kwa kinachoidaiwa kuwa ni “Uchochezi wa kisiasa”.



Mchungaji huyo wiki mbili zilizopita alisoma ripoti katika mkutano mkuu wa mwaka wa usharika wake ambayo ndo imepelekea kukamatwa kwake.



Katika ripoti hiyo, alibainisha kuwa mapato ya usharika yanapungua kwa sababu mbalimbali. Katika utangulizi wa ripoti hiyo alitaja changamoto 6 zinazoikabili nchi kwa sasa:



- Ukosefu wa ajira kwa vijana

- Hali ya uchumi inayoyumba

- Hali ya kisiasa ni ya mashaka

- Gharama kubwa za matibabu

- Sera ya elimu bure

- Wastaafu kutolipwa mafao yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…