Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
Asante mkwe, usijali hiyo moja nitaUNGAMA, kwa hiyo nitasamehewa pia (si unajua hata dhambi ikiwa nyekundu kama damu itasafishwa iwe nyeupe kama theruji?)Marhabaa mkwe wangu. Sasa najisikia raha, na nimeshaongea na Mungu usamehewe dhambi zako zote ulizotenda na utakazotenda kesho. Isipokuwa moja tu.
Dhambi zote zitasamehewa isipokuwa kukashifu Roho Mtakatifu.Asante mkwe, usijali hiyo moja nitaUNGAMA, kwa hiyo nitasamehewa pia (si unajua hata dhambi ikiwa nyekundu kama damu itasafishwa iwe nyeupe kama theruji?)
Nimeelewa Mkwe.Dhambi zote zitasamehewa isipokuwa kukashifu Roho Mtakatifu.
Sorce: Yesu
Na kumkashifu Roho mtakatifu ni kwa mkwe wangu kufanya infidelity na kivulana!(Hata shetani huwa anafumba macho asione hiyo makitu asee)
Kwakuwa ana kazi ya kubeba watoto wakati baadaye atakuwa na kazi nnyingine ya kubeba "mtoto". Majukumu mengi!!Nimeelewa Mkwe.
back to the topic, mbona huyo aliyebeba watoto hajatabasamu kama huyo mwingine aliyebeba "watoto"?
Uzuri ni kuwa married man anaweza pia kufanya role ya single man.
illegally
Oyaaaa, hii mada inafaa sana at 20-30 yrs!! Ukiwa na umri wangu nahaha kutafta kabinti kanipikie, unajua kula migahawani nayo inachosha!!!""""""
charminglady njoooooooooooooooooooooooooooooo unasalitiwa hukubado nipo nipo sana
Marhabaa mkwe wangu. Sasa najisikia raha, na nimeshaongea na Mungu usamehewe dhambi zako zote ulizotenda na utakazotenda kesho. Isipokuwa moja tu.
shikamoo mkwe..........................
Marhabaa mkwe wangu. Sasa najisikia raha, na nimeshaongea na Mungu usamehewe dhambi zako zote ulizotenda na utakazotenda kesho. Isipokuwa moja tu.
Kwakuwa ana kazi ya kubeba watoto wakati baadaye atakuwa na kazi nnyingine ya kubeba "mtoto". Majukumu mengi!!
Mi na mkwe wangu Fixed Point tushakuwa wakubwa sasa. Tunasubiria vijana wetu waoane. Nshamuahidi sitachukua mahari........asije tu akabemenda huyo toto atakayembeba baadae
Mi na mkwe wangu Fixed Point tushakuwa wakubwa sasa. Tunasubiria vijana wetu waoane. Nshamuahidi sitachukua mahari........
Shhhiiiiiiiii!! Mahari tunalipana kisirisiri na Fixed Point. Nadhani ushaelewa sasa? Yatupasa kujua watoto wataenda kupata nini kwakuwa like watoto like wazazi..... Fixed Point usije huku tafazali.asiee nilikuw najua we ni mzee wa mila na mila zetu haziruhusu kutoa bure karene hii anaweza kuwa jinadume gumegume kila siku likiamka asubuhi linamwambia mtoto wako ndio maana nilipewa bure
aisee chukua hata mahari kidogo asiee hata ile ya kutamkwa tu kama hajalipa ndio yeye atakuwa anaambiwa lione ndio maana hujanimalizia mahari mapaka leo ntarudi kwetu
mkwe hii sijaona, nimegonga like tu, umesemaje kwani?Shhhiiiiiiiii!! Mahari tunalipana kisirisiri na Fixed Point. Nadhani ushaelewa sasa? Yatupasa kujua watoto wataenda kupata nini kwakuwa like watoto like wazazi..... Fixed Point usije huku tafazali.
Afazali!mkwe hii sijaona, nimegonga like tu, umesemaje kwani?
illegally
Hakuna tofauti yoyote.............mwanaume anaweza aka multitask, shughuli ya kubebabeba sio ishu kabisa
Shhhiiiiiiiii!! Mahari tunalipana kisirisiri na Fixed Point. Nadhani ushaelewa sasa? Yatupasa kujua watoto wataenda kupata nini kwakuwa like watoto like wazazi..... Fixed Point usije huku tafazali.
mkwe hii sijaona, nimegonga like tu, umesemaje kwani?