Never On Earth!!
heeee!!!! sasa wapi penye raha!!??
heeeee bora nisiingie kuliko kuingia na kutaka kutoka!!! maana kutoka ni kazi kwelkwel!!Wote tu wana raha maana ukiwa haujaingia unataka kuingia na ukishaaingia unataka kutoka
heeeee bora nisiingie kuliko kuingia na kutaka kutoka!!! maana kutoka ni kazi kwelkwel!!
naenda kumwambia charminglady kuwa unamzingua kumbe wewe bado upo upo.
Ndo matatizo ya kuingia kwenye relationship bila kuwa screened, mwenzie anajua yuko serious kumbe yeye bado yupoyupo sana!
amiiina!!! yani dua lako nimelpenda balaaa!!!ni kama hujapata wa kukutamkia ndoa ndio maana unasema hivyo,,,ngoja apagawe mtu akutangazie ndoa utaharakisha mwenyewe kuingia..mwisho wa siku upweke nao utata!!kila mwanamke hutamani kuolewa atakuwa dnungaemba hadi lini? ndoa raha jamani, ila ukipata mnayeelewana naye, so dada ni kuomba Mungu wako atakusaidia kumpata atakayekuingiza kwenye ndoa na ukaifurahia milele Inshaallah!!....
Mi nina mke mmoja mzuri kama Bikira Maria. Sina mpango wa kuongeza mke mwingine kwa kuwa sioni kama inalipa. Tamaa zikinizidia, kuna mabinti kibao mtaani wananihitaji niwape huduma.We una wake wangapi au bado upo upo kwanza?, na je kila mwanaume anapozidi kuongeza mke hapo anakuwaje? ningependa kupata picha ya mwanaume mwenye wake wengi anakuwaje sura yake anakuwa kama huyu jamaa aliyeoa au huyo aliyesingle?
BINGO!!!ni kama hujapata wa kukutamkia ndoa ndio maana unasema hivyo,,,ngoja apagawe mtu akutangazie ndoa utaharakisha mwenyewe kuingia..mwisho wa siku upweke nao utata!!kila mwanamke hutamani kuolewa atakuwa dnungaemba hadi lini? ndoa raha jamani, ila ukipata mnayeelewana naye, so dada ni kuomba Mungu wako atakusaidia kumpata atakayekuingiza kwenye ndoa na ukaifurahia milele Inshaallah!!....
Kweli kabisa ya kwanza kutunza watoto na ya pil kutunza mama yaoUzuri ni kuwa married man anaweza pia kufanya role ya single man.
Mi nina mke mmoja mzuri kama Bikira Maria. Sina mpango wa kuongeza mke mwingine kwa kuwa sioni kama inalipa. Tamaa zikinizidia, kuna mabinti kibao mtaani wananihitaji niwape huduma.
Hahahaha! Pole! Akijiona mzuri unakamata mwingine mzuri kushinda yeye. Atajirekebisha tu. Si unajua mwanamke mzuri bado hajazaliwa?Kumbe unamfahamu bikira maria? alikuwa mzuri sana? na tamaa zinazidije wakati una mke mzuri kama bikira maria? mi naogopa wanawake wazuri nasiki wanaweza kukusababishia kila saa tamaa zikazidi maana wanafikiri ukishakuwa mzuri basi inatosha wanajishau kutoa huduma mi niliwahi kuwa na mmoja yaani yeye akishajina mzuri anafikiria wewe unafurahia kuuona tu uzuri wake basi akifika kitandani anajilaza tuu
Hizo ndizo salamu zako kwa mkweo? Huko nyuma hukuwa hivi kabisaaaa!
h haaaaaaaaaaaaaa, UTANDAWAZI mkwe, si unajua lazima kwenda na wakati? tusipoenda na wakati mnatutelekezaHizo ndizo salamu zako kwa mkweo? Huko nyuma hukuwa hivi kabisaaaa!
Bado sijasalimiwa ujue. We zuga tu!h haaaaaaaaaaaaaa, UTANDAWAZI mkwe, si unajua lazima kwenda na wakati? tusipoenda na wakati mnatutelekeza
shikamoo mkwe..........................Bado sijasalimiwa ujue. We zuga tu!
Marhabaa mkwe wangu. Sasa najisikia raha, na nimeshaongea na Mungu usamehewe dhambi zako zote ulizotenda na utakazotenda kesho. Isipokuwa moja tu.shikamoo mkwe..........................