Default ya uumbaji chanzo cha uchepukaji kwa wanaume

Default ya uumbaji chanzo cha uchepukaji kwa wanaume

Hiyo ni asili mkuu tuliyoumbiwa nayo,ndio maana tuna ujasiri wa kutongoza ila wao hawana,tumeumbwa na tamaa juu ya hill wala halikwepeki,binafsi niliwahi kumfuta nyuma mdada aliyetelemka kwenye daladala k,koo mpaka mnazi mmoja nikiwa nafurahishwa na umbo lake na ule mneso wa tako,baadaye nilijilaumu sana kwa kupoteza muda[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wee jamaa fala sana ujue[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Salaam Jf
Siku zinaenda, umri unasonga na uzoefu unajengeka.

Kama mwanamme halisi... uzoefu unanionyesha hata chanda kiwe hot kiasi gani, ukipita ule muda wa fantasy period anakuwa wa kawaida sana hata hakushitui

Mtaani pote mabaharia wanapiga salute kwa ukaliiiii wa chombo chako ila kwako steem ni kawiada sana.

Cha ajabu kitaaa unaopoa chombo ambacho ukikithaminisha na ulichokiacha home watu wanakushangaa na kujiuliza umekosa nini, .... Ila ukweli hiki chombo kipya japo kinyemi steem ziko 4G

Hali hii unifanya kufikiria kuwa Kuna default setting flani kwenye uumbaji wa mwanaume ambacho kinamfanya awe mchepukaji na asilidhike na mmmoja.

Au kuna social interpretation ambayo jamii zetu zili set rule amabayo iko contrary to nature of creation, yaani mwanaume hapaswi kuwa na mke mmoja tu!

Ebu leteni uzoefu....wakuu

Hii issue is so complicated

Mkuu mada yako inashindwa kujadilika variables nyingi zinashindwa kujengewa hoja umeweka wanaume wote, hujasema wa wapi Dunia nzima, Afrika, ulaya, Asia, au Amerika

Embu ondoa hiyo wanaume wote fanya editing then tujadili
 
Back
Top Bottom