Jaman wana MMU nataka kushare na nyie furaha nilionayo, nmezama kwenye mapenzi n thnx to God ninaye mpenda na yeye ananipenda pia. Natamani na kutaka penzi letu lidumu!!
Moso hongera sana I understand the feeling. We are sailing on the same boat mydia mh mh mh! Oh what a feeling!!! Mungu atakujaalia litadumu ili mradi usilichukulie for granted, nurture it
Hongera sana kwa hisia hizo,kuna watu hawajui kupenda hata raha ya kupenda na kupendwa hawaijui.Kama Mungu amekujalia hilo,mtangulize ili akupe mwongozo.
Jaman wana MMU nataka kushare na nyie furaha nilionayo, nmezama kwenye mapenzi n thnx to God ninaye mpenda na yeye ananipenda pia. Natamani na kutaka penzi letu lidumu!!
Hongera sana lakini kumbuka pia kujua anayekupenda kwa dhati ni ngumu kwani yataka muda kuona matendo..lakini kumbuka kuomba Mungu iwe hivyo na furaha yako idumu milele..