DEEP

DEEP

Mfilisti

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
3,729
Reaction score
19,466
Hii ni moja ya sababu kwa nini baadhi ya watu hulia wanapohitimu m
DjROfTqXgAAAE7U.jpg large.jpg
asomo yao
 
siyo hicho tu /kunamengi yalijificha
 
Hii ndio sababu kwanini darasa zima anafaulu mmoja au wasifaulu kabisa
 
Nadhani hii haiwezi kuwa kwa sasa.niliwahi somea katika mazingira kama haya .ila ni miaka hiyo mingi iliyopita
 
Hii ni moja ya sababu kwa nini baadhi ya watu hulia wanapohitimu mView attachment 823164asomo yao

Halafu watu wanachezea hela kununua wapinzani kisha kurudia uchaguzi. Hela inayotumika kurudia kata moja kiti cha udiwani inatosha kabisa kuwafanya watoto hawa wakasoma katika mazingira rafiki..TAFAKARI CHUKUA HATUA.Wabadhirifu waote wa hela ya umma kwa mgongo wa gharama ya demokrasia waende motoni.
 
nadhani mbuzi wa tanzania wana akili nyingi kuzidi watanzania.
 
Picha kama hizi sijui kwanini lakini huwa zinanitoa machozi...haimaanishi moyo wangu ni dhaifu la hasha! Lakini nawaza jinsi gani maisha yasivyo Fair!
 
Halafu watu wanachezea hela kununua wapinzani kisha kurudia uchaguzi. Hela inayotumika kurudia kata moja kiti cha udiwani inatosha kabisa kuwafanya watoto hawa wakasoma katika mazingira rafiki..TAFAKARI CHUKUA HATUA.Wabadhirifu waote wa hela ya umma kwa mgongo wa gharama ya demokrasia waende motoni.
Amiiin
 
Wengi tumepita huko ila ingawa ya zote changamoto lakini tulipofikia tunamshukuru mungu nje zote changamoto bado naimani na chama tawala
 
Imani yako ipokwenye nini? Kama miaka hiyo uliyopita wewe lakini mpaka leo bado kuna shule zipo hivyo.
 
Bado ninamamlaka kamili ya kuzitimiza ndito zangu katika taifa lililo huru sitegemei serikali kunipa maisha mazuri wakat najua duniani ni kupambana mpka kufa unaesubiri serikali ikufanyie kila kitu utailaumu sana nao wanamambo yao wanataka ku acomplish kama kurudisha gharama za kampeni sitegemei kila kitu kitsboreshwa kama tunavyotaka
 
Sawa. Unasema hutegemei Serikali, Kuna serikali inayoundwa bila chama? Unaposema "Unaimani na chama tawala unamaanisha nini"
 
Chama kilichounda serikali nina imani nacho kwa sera zake nzuri zilizoniwezesha mtoto wa mkulima kupata elimu tena ya kata ila imenijenga
 
Sasa unaposema huitegemei serikali unamaanisha nini? au niambie kitugani utafanya bila kutegemea serikali?
 
Kina mmoja Kati ya Hao hapo atakuwa kiongozi mkubwa was nchi

Ova
 
Back
Top Bottom