Waziri Ummy amtaka DED wa Bumbuli kujitathmini kama bado anazo sifa za kuendelea na majukumu yake!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,961
141,959
Waziri wa Tamisemi amemtaka mkurugenzi wa Bumbuli kujitsthmini yeye mwenyewe kama bado anafaa kuendelea na majukumu yake.

Waziri Ummy amesema Bumbuli inaongoza kwa ubadhirifu wa fedha za umma na kamwe hatamvumilia mkurugenzi huyo na amemtaka achukue maamuzi magumu kabla rungu la Rais Samia halijamshukia.

Bumbuli ni jimbo la January Makamba.

Kazi Iendelee!
 
CV

Mh. Waziri Ummy mwalimu,pita majimbo yote ambayo wabunge walipita bila kupingwa,utakutana na madudubya ajabu kuhusu wizi wa fedha za umma. Pitia pia jimbo la chalinze,mtama,Ruangwa.
 
Sikuona ulazima wa mleta uzi kulitaja jina la january

Ova
 
Wezi wa mali ya umma hawafai kuwa ndani ya serikali. Waondolewe. Wanachelewesha maendeleo ya nchi
 
Lengo la kumtaja January makamba kwenye uzi wako ulitaka kuamsha morali kwa wachangiaji this is irritativewriting
 
Waziri wa Tamisemi amemtaka mkurugenzi wa Bumbuli kujitsthmini yeye mwenyewe kama bado anafaa kuendelea na majukumu yake.

Waziri Ummy amesema Bumbuli inaongoza kwa ubadhirifu wa fedha za umma na kamwe hatamvumilia mkurugenzi huyo na amemtaka achukue maamuzi magumu kabla rungu la Rais Samia halijamshukia.

Bumbuli ni jimbo la January Makamba.

Kazi Iendelee!
Maneno mengi ya nini? Hili ndio tatizo la viongozi wetu unafikiri hawajui sheria za utumishi, Msimamishe, CAG akague kama kuna wizi afukuzwe kazi au apelekwe mahakamani, na kama hakuna wizi aendelee na kazi Yake. Ukiona Maneno mengi huenda ni majungu tu
 
Mtu kala hela afukuzwe kazi????? Acheni maneno mingi nyie.
 
Waziri wa Tamisemi amemtaka mkurugenzi wa Bumbuli kujitsthmini yeye mwenyewe kama bado anafaa kuendelea na majukumu yake.

Waziri Ummy amesema Bumbuli inaongoza kwa ubadhirifu wa fedha za umma na kamwe hatamvumilia mkurugenzi huyo na amemtaka achukue maamuzi magumu kabla rungu la Rais Samia halijamshukia.

Bumbuli ni jimbo la January Makamba.

Kazi Iendelee!

Hakuna wakuchukua maamuzi Magumu hapo
 
Waziri wa Tamisemi amemtaka mkurugenzi wa Bumbuli kujitsthmini yeye mwenyewe kama bado anafaa kuendelea na majukumu yake.

Waziri Ummy amesema Bumbuli inaongoza kwa ubadhirifu wa fedha za umma na kamwe hatamvumilia mkurugenzi huyo na amemtaka achukue maamuzi magumu kabla rungu la Rais Samia halijamshukia.

Bumbuli ni jimbo la January Makamba.

Kazi Iendelee!
26 August 2020
DED wa Bumbuli Lushoto ambaye ni Msimamizi wa Jimbo La Uchaguzi
Bw. George Haule mkurugenzi wa Halmashauri na pia msimamizi wa uchaguzi jimbo la Bumbuli akitangaza wagombea wa ACT WAZALENDO, CHADEMA na CUF wote wameshindwa kutimiza vigezo hivyo kuenguliwa ktk uchaguzi wa 2020 na mgombea wa CCM January Makamba kutangazwa kupita bila kupingwa
 
"Afukuzwe kazi au apelekwe mahakamani" Ili uone sijapanik futa hiyo afukuzwe kazi. Next
Sio makosa yote lazima yapelekwe mahakamani ndio maana nikaweka option zote 2, mengine unafukuzwa moja kwa moja soma sheria za utumishi.
 
Waziri wa Tamisemi amemtaka mkurugenzi wa Bumbuli kujitsthmini yeye mwenyewe kama bado anafaa kuendelea na majukumu yake.

Waziri Ummy amesema Bumbuli inaongoza kwa ubadhirifu wa fedha za umma na kamwe hatamvumilia mkurugenzi huyo na amemtaka achukue maamuzi magumu kabla rungu la Rais Samia halijamshukia.

Bumbuli ni jimbo la January Makamba.

Kazi Iendelee!
Mbona hazingumzii DED wa BAHI?
Ummy anaangalia nyani usoni?
 
Inawezekana wana bifu tokea huko,ivi hawa wote ni wa Mkoa wa Tanga,sio bure.
 
Back
Top Bottom