Ded yupi unamtaja amekula fedha za walimu kuwa makini usipende kutumwa kama kibalaka mzeeee
anaitwa nani na amepigwa chini na nani na kwa sababu ipi?Ded huyu alikuwa anakula fedha za walimu kwenda mbele... haskiliz walimu wala mtumishi yeyote...
Mungu mkubwa sana hatimae ameskia kilio cha watumishi hawa...
anaitwa nani na amepigwa chini na nani na kwa sababu ipi?
Vijana wa CDM hao mkuu usihangaike nao hii ni kama ile habari ya kukamatwa kwa kontena la kira Tunduma...
CDM wamelewa uongo..
umeishiwa mahubiri..