DED Malinyi ajenga nyumba sita za walimu

Hizo Nyumba zipo maeneo gani tukathibitishe tuache porojo
 
Hizo nyumba mbona Halmashauri ya Bagamoyo tulishazisahau? Kumbe Mkurugenzi wenu ni mzembe kiasi hiki? Sisi Waalimu walishahamia miezi mitano imepita tangu ujenzi wa nyumba hizo ukamilike!! Huo mjengo na ramani ni moja tu, Hata kwetu ni hivyo hivyo, Inamilango sita, Kila kaya INA mlango wake, Ukiingia ,sebule, Chumba,Ukitokea mlango wa uani kuna sehemu ya uwazi na pia kuna jengo LA majiko na vyoo,Kila familia choose chake na jiko lake, Pia kuna Lisebule kubwa sana ambalo wanaweza kutumia mapumziko kwa Maya zote ,Pia IPO milano ya ndani kwa ndani unaweza kumtembelea Jirani wa Chuma cha tano bila kulazimika kutoka nje, Ramani ni nzuri sana HONGERA SERIKALI KATIKA HILI NINAWAPONGEZA SANA.
 
ni wajibu wake kufanya alicho kifanya, tunamlipa mshahara kwa kazi anayo ifanya.
Hili ndilo tatizo la watanzania wengi, kushindwa kuonyesha moyo wa shukrani hata kwa jambo dogo, ni kweli ni wajibu wake lakini kuna Ma DED wangapi Tanzania? Mbona hao hawajatimiza huo wajibu kwa wakati? Bila shaka wajibu wa mwanafunzi ni kusoma lakini akifaulu lazima apongezwe
 
Hizo nyumba mbona Halmashauri ya Bagamoyo tulishazisahau? Kumbe Mkurugenzi wenu ni mzembe kiasi hiki? Sisi Waalimu walishahamia miezi mitano imepita tangu ujenzi wa nyumba hizo ukamilike!! Huo mjengo na ramani ni moja tu, Hata kwetu ni hivyo hivyo, Inamilango sita, Kila kaya INA mlango wake, Ukiingia ,sebule, Chumba,Ukitokea mlango wa uani kuna sehemu ya uwazi na pia kuna jengo LA majiko na vyoo,Kila familia choose chake na jiko lake, Pia kuna Lisebule kubwa sana ambalo wanaweza kutumia mapumziko kwa Maya zote ,Pia IPO milano ya ndani kwa ndani unaweza kumtembelea Jirani wa Chuma cha tano bila kulazimika kutoka nje, Ramani ni nzuri sana HONGERA SERIKALI KATIKA HILI NINAWAPONGEZA SANA.
Hii ni halmashauri mpya, ni miezi 2 toka kupewa fedha za kufanya ujenzi tofauti na halmashauri nyingine ambazo mpaka sasa kwa huku bado hawajakamilisha
 
Amefanya kitu cha maana sana ila akumbuke yupo duniani sio mbinguni lazima akumbane na Fisi wanabweka kupinga alichofanya.
 
Treni flani mbona Kama kambi za wakimbizi bana...bora ziwe hosteli za wanafunzi chyaaa!
 
*MKURUGENZI MALINYI AKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA 6 ZA WALIMU KWA SIKU 23.*

Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Malinyi ndugu _Marcelin Ndimbwa_ amefanikiwa kukamilisha ujenzi wa nyumba 6 za walimu ambapo kila nyumba itakuwa na uwezo wa kubeba kaya/familia sita pamoja na matundu 24 ya vyoo ambao ni mradi wa SEDEP.

Ujenzi huo ulianza mara moja baada ya tangazo la mh Rais alilotoa mwishoni mwa mwezi novemba kwa kuwataka wakurugenzi wote kukamilisha ujenzi wa nyumba za walimu, ndugu Ndimbwa (Mkurugenzi Mtendaji) aliamua kufunga mkanda na kulivalia njuga ili kuhakikisha ujenzi huo unakamilika haraka iwezekanavyo na kuwa tayari kwa matumizi ya makazi hadi kufikia kipindi mkurugenzi aliendelea na shughuli za halmashauri kutokea hapo hapo site (Kwenye ujenzi wa mradi) na hatimaye ndani ya siku 23 kazi hiyo imekamilika kama inavyoonekana pichani.

Endapo miradi ya namna hiii isopokamilika kwa wakati imeelezwa moja madhara ya ni fedha kurudi World bank, hivyo ingepelekea serikali kupata hasara pamoja na kufutwa kwa msaada huu.

Tunapongeza juhudi hizi za wasaidizi na watendaji wa mh rais katika kuhakikisha serikali inatumia vema fedha za misaada pamoja na kusimamia vema mapato na matumizi ya fedha za umma na serikali yetu.

Hakika tunahitaji utendaji wa wakurugenzi wengi wa mfano wa ndugu Marcelin Ndimbwa ili kutimiza adhma ya serikali katika kuwatumikia wananchi wake kwelikweli.

View attachment 451946
View attachment 451947
View attachment 451948

Huu nao utakuwa utani, au amesahau alipaswa kukamilisha ujenzi wa maabara akaita ni NYUMBA za Walimu, fuatilia vizuri maana NYUMBA kujengwa siku23 sijawahi sikia otherwise kama haina msimamizi msomi
 
Hongera zake, ila mbona kama ni madarasa ya maabara? Au aliamua kubadirisha matumizi inawezekana yalikua maabara akaamua kubadili matumizi na ndio maana amechukua muda mfupi, kwa siku ulizotaja ni ngumu sana kumaliza nyumba ukiniambia yalikua mapagale ya maabara kaamua kufanya mabadiliko hapo naweza kukuelewa
 
Hili ndilo tatizo la watanzania wengi, kushindwa kuonyesha moyo wa shukrani hata kwa jambo dogo, ni kweli ni wajibu wake lakini kuna Ma DED wangapi Tanzania? Mbona hao hawajatimiza huo wajibu kwa wakati? Bila shaka wajibu wa mwanafunzi ni kusoma lakini akifaulu lazima apongezwe
mkuu silazimiki kutoa shukrani kwa mtu alie timiza wajibu wake, ntalazimika kufanya hivyo kama amefanya la ziada nje ya wajibu wake, kila mtu afanye kazi yake akipewa hasante hiyo ni bonus na asipo pewa aone kawaida tu.
 
Watu kama nyie siwashangai, hata mkeo akikupikia chakula kizuri huwa mnashindwa kushukuru kisa tu ni wajibu wake! Kama umelelewa vyema na wazazi na ukafunzwa neno kushukuru hautoona tabu kulitumia kwa binaadamu wenzio
 
Mkuu nirudie tena shukrani kwa mtumishi anaye timizeni wajibu wake si lazima!!!!!!......... Mahusiano ya mke na mume ni tofauti kabisa na mahusiano baina ya mwajiliwa anaye hudumu ofisi flani na mhudumiwa.
 
Tuishie hapa, we baki na choyo yako wishing you a Happy New year of 2017
 
*MKURUGENZI MALINYI AKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA 6 ZA WALIMU KWA SIKU 23.*

Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Malinyi ndugu _Marcelin Ndimbwa_ amefanikiwa kukamilisha ujenzi wa nyumba 6 za walimu ambapo kila nyumba itakuwa na uwezo wa kubeba kaya/familia sita pamoja na matundu 24 ya vyoo ambao ni mradi wa SEDEP.

Ujenzi huo ulianza mara moja baada ya tangazo la mh Rais alilotoa mwishoni mwa mwezi novemba kwa kuwataka wakurugenzi wote kukamilisha ujenzi wa nyumba za walimu, ndugu Ndimbwa (Mkurugenzi Mtendaji) aliamua kufunga mkanda na kulivalia njuga ili kuhakikisha ujenzi huo unakamilika haraka iwezekanavyo na kuwa tayari kwa matumizi ya makazi hadi kufikia kipindi mkurugenzi aliendelea na shughuli za halmashauri kutokea hapo hapo site (Kwenye ujenzi wa mradi) na hatimaye ndani ya siku 23 kazi hiyo imekamilika kama inavyoonekana pichani.

Endapo miradi ya namna hiii isopokamilika kwa wakati imeelezwa moja madhara ya ni fedha kurudi World bank, hivyo ingepelekea serikali kupata hasara pamoja na kufutwa kwa msaada huu.

Tunapongeza juhudi hizi za wasaidizi na watendaji wa mh rais katika kuhakikisha serikali inatumia vema fedha za misaada pamoja na kusimamia vema mapato na matumizi ya fedha za umma na serikali yetu.

Hakika tunahitaji utendaji wa wakurugenzi wengi wa mfano wa ndugu Marcelin Ndimbwa ili kutimiza adhma ya serikali katika kuwatumikia wananchi wake kwelikweli.

View attachment 451946
View attachment 451947
View attachment 451948

Hizi ni nyumba au mabweni?
 
Ndimbwa ni MDOGO WANGU toka tupo Kyela na baadae Ileje
Ana weza kuongoza LKN siku hizi nae kaingia kwenye mambo ya kipuuzi ya kufukuza watumishi
Nitaongea nae nimkemee kidogo
Afanye kazi bila kuweka watu mahabusu
 
Back
Top Bottom