Decriminalization and Legalization of Cannabis Sativa Plant

Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,951
9,975
The Kenyan Sanate is debating on whether to decriminalize and legalise bhang. I heard Sanator Machage saying that chang'aa is not criminalised in Tanzania instead the Government harvest it to make Konyagi. He also said that cannabis sativa plant is being freely planted in Tanzania thereafter exported to Kenya where the Kenyans who are found with that plant are arrested; said that cannabis sartiva plant is not criminalized in Tanzania.

Machage ni muongo sana huyu anawadanganya Wakenya akitaka bangi ihalalishwe. Bangi na gongo (chang'aa) ni haramu nchini Tanzania.
 
Kama anajiamini ayapakie Ayalete
Kutengenezea konyagi siye yatuhusu nini!!
 
The Kenyan Sanate is debating on whether to decriminalize and legalise bhang. I had Sanator Machage saying that chang'aa is not criminalised in Tanzania instead the Government harvest it to make Konyagi. He also said that cannabis sativa plant is being freely planted in Tanzania thereafter exported to Kenya where the Kenyans who are found with that plant are arrested; said that cannabis sartiva plant is not criminalized in Tanzania.

Machage ni muongo sana huyu anawadanganya Wakenya akitaka bangi ihalalishwe. Bangi na gongo (chang'aa) ni haramu nchini Tanzania.


Kwenye hii Taarifa huyu hakosi

RIPOTI: Mihadarati imeongeza idadi ya watu wenye akili punguani pwani
 
Hehehe! Machagge atakua anadanganywa na nani, ila kuna kaukweli maana kuna bangi nyingi inapitia kwanza hilo eneo lake la Wakurya ikitokea nchi jirani maana hata huko Tanzania kunao ndugu zao Wakurya.

Halafu Tanzania wana vivywaji fulani wenyewe wanaita viroba mithili ya chan'gaa, inatengenezwa viwandani na imeruhusiwa. Japo naomba huo mfumo usiruhusiwe Kenya maana inalemaza nguvu kazi, vijana wanaishia kuwa kama mazombi. Pombe kama hizo zimeharibu vijana wengi Kenya hususan vijijini.
 
Wanayoipinga ni wale wasioitumia.
Ni wachache kwenye vyombo vya kutunga sheria wanaoweza kutumia akili zao timamu kujadili mambo makubwa kwa kuzingatia kuwa kinachokubalika leo kinaweza kuharamishwa kesho wakajiongeza kujiuliza ikiwa wanachokiharamisha leo kikihalalishwa kesho ina maana wao wanaviakili vidooooooogo kama vya jogoo.
 
Back
Top Bottom