Decorder yangu imefuta local channels kwa startimes

mpenda pombe

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
1,410
Reaction score
722
Wadau salaams..

Wataalamu wa satellite dish msaada tutani..

King'amuzi changu cha startimes ya dish Leo kimepoteza local channels zote mpaka tbc1.

Je ni tatizo la Decorder yangu tu au ni kwa wote?

Tatizo lilianza nilipotaka kuangalia star TV idhaa ya BBC Swahili ikawa empty..

Nikaona suluhisho ni Ku search automatically.. Ndio ikapoteza local zote.

Zimekuja channels mpya ila hazionyeshi Kama sabc1, 2, 3 Na nyingine nyingi..

Ushauri wenu wadau..
 
Hili tatizo hata mimi limenitokea, kwanza TBC 2 ilipotea, nikafanya automatic search hapo nikapoteza zote including tv1 sijajua tatizo nini, tusubiri wataala waje
 
Inaweza kuwa ni signal ilikuwa low au hamna kwa channels za local. Ukisearch wakati signal iko low au hamna kabisa lazima zipotee. Linapotokea tatizo kama hilo tafadhali usisearch. Angalia signal ikoje, nenda settings uangalie signal ni ngapi fanya hivyo ukiwa umechagua channel isiyoonyesha. Unaweza kukuta ni zero. Kwa kawaida ni vema kusubiri tu bila kufanya chochote yaani kama umeme unapokatika tunasubiri tu urudi hana namna. Tatizo la kukatika channels hata ving'amuzi vya antenna linatokea mara kwa mara. Mimi nina Startimes cha antenna huwa kninakata local, au news channels kama bbc,aljazeera,nk au wakati mwingine zote. Nasubiri tu zinarudi..
Kwa hiyo wewe cha kufanya chech signal kama iko vema search tena.
"Maumivu yakizidi muone daktari"
 
Mkuu Signal ipo 81/67
 
Hili tatizo hata mimi limenitokea, kwanza TBC 2 ilipotea, nikafanya automatic search hapo nikapoteza zote including tv1 sijajua tatizo nini, tusubiri wataala waje

Ngoja tuwasubiri wataalam mkuu
 
Jana nilimsikia mbunge mmoja anahoji kwanini hawaonyeshi hizo local Chanel pindi kifurushi kipoisha!
Nahisi watakuwa wamekasirika
 
Ni ajabu Sana.. Mpaka Mdau wao tbc1 Na tbc2 hawapo.
 
Back
Top Bottom