frenderPH
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 619
- 806
Wadau habari za jioni. Samahanini kwa usumbufu, mwenzenu nimekumbwa na changamoto moja
Nilinunua king'amuzi cha dstv lakini cha ajabu duka niliponunulia waliniomba kwamba makarai(dish) ya dstv yameisha so wanipe la startimes na wakasema kwmba hayana shida kabisa. Sasa kitu kinachonitatiza ni kwamba Kila mda mawingu yakitanda yani kama mvua inataka kunyesha, basi siwezi kuangalia Tv, yani inakua inascratch mpaka kero.
Sasa ngependa kujua hili tatzo linaletwa na dish (karai) au ni hali ya kawaida!? Maana sasa hali niliyofikia nnachoka sana alafu istoshe sahivi tupo katka kipindi cha mvua nyingi sasa napata tabu. Naombeni ushauri wenu tafadhali.