Decoder za abudhabi nitafute

Chuck j

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
2,366
Reaction score
832
Nitafute upate mambo mazuri,,,,,,,,,,0717/0787/0756-9666540 na bei ni 750000 full instalation
 
hizo decoder zina nini cha maana chenye kulingana na hiyo thamani...au hiyo bei umekosea kutype
 
Chuck J naomba utujuze zaidi kuhusu hizo dekoda!
 
sasa kama nahitaji dekoda pekee bei yake inakuwaje? chuckj
 
Last edited by a moderator:
Mi ninayo abudhabi sports nilifungiwa na Lampard aljazeera kwa 750 mwaka jana december,,,, huyo lampard anapatikana mtaa wa msimbazi ni maarafu sana kwenye maduka ya vifaa vya madish kariakoo unaweza ukamtafuta..

Hiyo bei inajumlisha humax Hd decoder pvr moja ambayo unaangalia hd match zote duniani,, plus dish 1, gharama za ufundi humo humo na one year package imeshalipiwa full,, kusema kweli aljazeera sports ni the same as dstv as nao wanachukua match direct from skysports hd channels, na standard channels, espn, cfi etc, ina television za sports almost 11, za movie 20, za katuni, music etc...

Baada ya hapo kila mwaka nitakuwa nalipia usd 100 through bank transfers or online...

Angalizo kuna jamaa wanafanga aljazeera kwa kuchakachua hiyo ulipii tena,, dstv, startimes, zuku etc.. Kuna style zinafungwa dish juu plus vifaa vya uchakachuzi vina unlock tv zote.. Hiyo nayo ukitaka unafungiwa,, dstv chafu lak 6,, aljazeera chafu lak 9,, startimes chafu lak 2, na zuku chafu lak 2 ( but hizi afanyi lampard aljazeera zinafanywa kitaaani na watoto wa kitaa)
 
Abu dhabi naona km lesen yao ya kuonesha EPL inaisha 2014..cjui baada ya hapo itakuwaje?...vp wanaonesha La Liga na UEFA??
 
mmmh!! haya!!
 

contact zake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…