K Kisendi JF-Expert Member Jan 29, 2009 699 178 Nov 28, 2013 #1 Wadau wa soka, Nahitaji decoder za abu dhabi kwa ajili ya kuona mechi zote za EPL. DSTV bei inaumiza nimeshindwa kabisa kulipia. Naomba pia kama kuna mtu anasifahamu chanel za kiarabu ambazo unaweza kuingiza kwenye any decoder nikomae Nashukuru.
Wadau wa soka, Nahitaji decoder za abu dhabi kwa ajili ya kuona mechi zote za EPL. DSTV bei inaumiza nimeshindwa kabisa kulipia. Naomba pia kama kuna mtu anasifahamu chanel za kiarabu ambazo unaweza kuingiza kwenye any decoder nikomae Nashukuru.
Lokissa JF-Expert Member Nov 20, 2010 7,446 2,490 Nov 28, 2013 #2 pitia pitia jukwaa la matangazo kuna mdau aliweka hii kitu anashughulika nazo na kuziuza sikumbuki jina.
pitia pitia jukwaa la matangazo kuna mdau aliweka hii kitu anashughulika nazo na kuziuza sikumbuki jina.
C chayowa JF-Expert Member Aug 15, 2011 413 109 Nov 28, 2013 #3 Kisendi said: Wadau wa soka, Nahitaji decoder za abu dhabi kwa ajili ya kuona mechi zote za EPL.DSTV bei inaumiza nimeshindwa kabisa kulipia. Naomba pia kama kuna mtu anasifahamu chanel za kiarabu ambazo unaweza kuingiza kwenye any decoder nikomae Nashukuru. Click to expand... Mcheki Mjunwa 0753932250 au m2n 0755711989. Nimezipata huku huku kwenye thread moja. Hebu wacheki waweza saidia.....
Kisendi said: Wadau wa soka, Nahitaji decoder za abu dhabi kwa ajili ya kuona mechi zote za EPL.DSTV bei inaumiza nimeshindwa kabisa kulipia. Naomba pia kama kuna mtu anasifahamu chanel za kiarabu ambazo unaweza kuingiza kwenye any decoder nikomae Nashukuru. Click to expand... Mcheki Mjunwa 0753932250 au m2n 0755711989. Nimezipata huku huku kwenye thread moja. Hebu wacheki waweza saidia.....
K Kisendi JF-Expert Member Jan 29, 2009 699 178 Nov 28, 2013 Thread starter #4 chayowa said: Mcheki Mjunwa 0753932250 au m2n 0755711989. Nimezipata huku huku kwenye thread moja. Hebu wacheki waweza saidia..... Click to expand... Thanks mkuu. Namcheki
chayowa said: Mcheki Mjunwa 0753932250 au m2n 0755711989. Nimezipata huku huku kwenye thread moja. Hebu wacheki waweza saidia..... Click to expand... Thanks mkuu. Namcheki
M mwitu JF-Expert Member Jun 22, 2012 856 200 Nov 28, 2013 #5 abu dhabi hawaoneshi epl. Al jaezira ndo wanaonesha epl. Hao unaowataja walipewa mwaka jana na sio mwaka huu.
abu dhabi hawaoneshi epl. Al jaezira ndo wanaonesha epl. Hao unaowataja walipewa mwaka jana na sio mwaka huu.