kweyamba_dave
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 961
- 484
salama iwe nanyi,amani haina mtambuko tena kwenye malango yetu.sababu kuu sidhani kama ni utajiri uliopo ndani ya bara hili bali napata shaka kuwa ni kukosa ushirikiano na kutojiamini kwa viongozi wetu.tunasemewa kila tunachohitaji na kufanyiwa kadri ya wanavyotaraji.ikiwa tunaamini mjenga nchi ni mwananchi basi nasikitika kwa kuwaacha wageni waliharibu bara letu.kwa utashi wangu waamerika huijenga America na waingereza huijenga uingereza hata kwa ufaransa na uchina hali ni hiihii.tusiamini kipo wanachojenga na hata wakijenga huwa ni kufidia kwa asilimia ndogo kile walichobomoa.
ufike wakati tuseme wazi kuwa sisi si wajinga tena.inasikitisha AU inapopinga jambo kisha mmarekani na mfaransa wakalifanya kwa tao na madaha yote.umoja huu ulikataa mpango wa NATO kwa Libya ila nguvu ikatumika yaliyotokea tumeona.lengo ni kusaidia walibya au kumtoa gaddafi madarakani? wanasema nini leo baada ya wananchi kuchoshwa na uongozi wao pandikizi? wako kimya nani anayeumia? ni walibya sio Robert green ama juan McCarthy wa Nevada.kulikuwa na umuhimu wa walibya kuamua ya kwao kwa msaada wa waafrika wenzao wanaofahamu mambo yao.
yeye ni nani ata amtishe museveni.....he is a president like him.kwanini anataka kuamua badala yake? the matters of Ugandans should be left to Ugandans not to barrack.
till when are we going remain silence to them? aren't we tired or our dictionaries do not define justice?
The matters of the Africans are supposed to be left to the Africans we are the one who can decide,we are the one who are supposed to make decisions on the matters not them