Deci

Deci

mpambanaji

Member
Joined
Apr 5, 2009
Posts
22
Reaction score
1
Tanzania ni moja, mambo lukuki. Hili la Katiba mpya, Dowans ya Rostam, Kiwira, Kagoda, Urais 2015 ni kweli vimefunika hoja ya zile pesa za walala hoi ambazo Pinda alizichukua na kuzifungia Serikalini kabla ya uchaguzi 2010? Hebu tuanze kufuatilia hayo mabilioni yaliyochangwa na walalahoi wakitegemea mavuno makubwa angalau mitaji irejeshwe.
 
Kama ulipanda ndugu imekula kwako hiyo ndo nitoleee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom