Deci na kampeni za 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Deci na kampeni za 2010

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nazjaz, Jan 20, 2011.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  Inasemekana deci ilianzishwa na chama kimoja chenye nguvu ili kujikusanyia fedha za kampeni.
  Hayo maneno yaliyo enea mitaani sijui yana ukweli gani, lakini wahanga wa fedha za deci wanadai kuwa waziri mkuu aliwaahidi kurudishiwa pesa zao baada ya miezi sita, lakini hadi leo hamna aliyerudishiwa fedha hizo. Pia hata muendelezo wa kesi yao haueleweki kwani kuko kimya.
  Je wewe unafahamu nini?
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  Usinikumbushe machungu muda huu napata gahawa
   
Loading...