December: Mwezi wa Wachaga

Mandla Jr.

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
3,098
Reaction score
631
Mwezi wa kurudi uchagani, Mwezi wa kufanya biashara, Mwezi wa kwenda kuchinja na kutoa sadaka.

Karibu December.
 
Mwezi wa kurudi uchagani...

Mwezi wa kufanya biashara..

Mwezi wa kwenda kuchinja na kutoa sadaka...

Karibu December.

hata wewe unaweza kuwa mwezi wako pia hakuna kabila lenye mwezi ManDla_jr
 
Last edited by a moderator:
Mwezi wa kurudi uchagani...

Mwezi wa kufanya biashara..

Mwezi wa kwenda kuchinja na kutoa sadaka...

Karibu December.

mwezi wa kabila lako ni lini maana kila ukija Jf ni wachaga,Chadema, Godbless lema, na mji wa moshi haukuwi ...unataka bwana wa kichaga huwezi ukaangaika na upande mmoja wa eneo mwaka mzima lazima kuna kitu wamekushinda na huna namna zaidi ya kutoa huo wivu, chuki juu ya watu hawa.ukimaliza huu uzi anzisha mwingine wadada wa kichaga hawajui mapenzi,wachaga wataenda kwao kama makabila na jamii nyingine zinavyoenda kwao..!
 
Tunawatikia amani waende kuhesabiwa na kurudi salama, kidogo foleni itapungua.
 

kidogo umesaidia mkuu kuhusu ilo ila mtazamo wake tu katka kujenga hoja hapa #JF nice idea
 
usitake kunambia wachaga kila disemba wanatoa sadaa??? ya mtu au kitu gani
 

Ahsante.
 

Ana haaaamu huyu si bure .
 

Acha hasira mkuu,
Kwani kuna kitu cha uongo katika hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…