October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Hahhaaaa Ustadhi Rashid atatokea katika moja na mbili.
Sijakuelewa nirahisishiye hapo kwenye wings na ametokota(aliyetokota ni nani?)Ametokota akarojeka. Hajui kilichombele yake. Haehe! Halula! Nilisema soon huu ujinga wakomeshwa. Jazeni ulinzi Chooni. Heheee! Bafuni hehee! Litakufa jitu.
Na bado. Najuzwa Yule askofu sasa ataingia kama sub super akiwa winga ya kulia. Dec 6 kuna Jambo. Semeni nisiseme.
Walahi watu wabaya. Hawajui chuma yatatokea wapi hehee! Miye sijui naigopa walahi. Dec 6. Desimal place 11. Log 19. Barabara ya kumi. Memeee! Habari wanazo. Mjiapize walahi. Na bado
Hahhaaaa Ustadhi Rashid atatokea katika moja na mbili.
Sijakuelewa nirahisishiye hapo kwenye wings na ametokota(aliyetokota ni nani?)
Na badoAje atoe kauli ya mwisho
Ni super sub siyo sub super shekh.Ametokota akarojeka. Hajui kilichombele yake. Haehe! Halula! Nilisema soon huu ujinga wakomeshwa. Jazeni ulinzi Chooni. Heheee! Bafuni hehee! Litakufa jitu.
Na bado. Najuzwa Yule askofu sasa ataingia kama sub super akiwa winga ya kulia. Dec 6 kuna Jambo. Semeni nisiseme.
Walahi watu wabaya. Hawajui chuma yatatokea wapi hehee! Miye sijui naigopa walahi. Dec 6. Desimal place 11. Log 19. Barabara ya kumi. Memeee! Habari wanazo. Mjiapize walahi. Na bado
Anakuja kushambulia kutokea kulia wakati yeye anatumia mguu wa kushoto. Sisi wachambuzi tunamuita "orthodox winger"Wakati ule alisababisha penalti dakika za mwisho na serikali ikafungwa gori. Safari hii nayo atakuja dkk za mwisho tena?
Asije tu akawasaliti 😆Anakuja kushambulia kutokea kulia wakati yeye anatumia mguu wa kushoto. Sisi wachambuzi tunamuita "orthodox winger"
Mkono wa Baunsa tunategemea sana japo wamejaribu "kumblack mail" kwa kufungulia kanisa.