GE2025 Debora Joseph Tluway chaguo sahihi 2025-2030

GE2025 Debora Joseph Tluway chaguo sahihi 2025-2030

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,429
Ndugu Mjumbe wa Mkutano Mkuu UVCCM Taifa, Naomba Kura Yako Ya Ndio, Mungu Akubariki Sana

Safari ya Uongozi. Moyo wa Jamii na DIRA NJEMA KWA VIJANA.

Tazama maisha, dhamira, na mchango wa DEBORA JOSEPH TLUWAY kiongozi kijana, mzalendo, na sauti ya mabadiliko.

Kutoka Katavi hadi dunia, hii ni hadithi ya utumishi, ujasiri na matumaini, maono na dira njema kwa Taifa la Tanzania.

WhatsApp Image 2025-07-30 at 16.01.36.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom