ntabhaligwa
Senior Member
- Jan 2, 2017
- 141
- 104
tofauti ni 'live sessions' za maswali na majibu, kwa 'debate' kipindi cha maswali na majibu ni kizur sana na kinafurahisha na kuchangamshaSiku hizi kuna malumbano ya hoja ITV hahaha
kuna uwezekano wasaidizi wake walijadili kikao cha ndani wakatazama video za Shk Ahmed Deedat wakamshauri asikubaliKwa hiyo papa aliingia mitini alikosa hoja za kuutetea ukristo
kweli kabisa mkuutofauti ni 'live sessions' za maswali na majibu, kwa 'debate' kipindi cha maswali na majibu ni kizur sana na kinafurahisha na kuchangamsha