Sasa kama elimu ni msingi kuwa mfanyabiashara mbona wapo watu wengi tu hawana elimu na ni wafanyabiashara waliofanikiwa.Elimu ni msingi wa mambo mengi muhimu, japo kuna watakaosema huhitaji elimu kuwa mfanya biashara lakini mifano hai niliyonayo, wafanya biashara wakubwa duniani kama Bill Gate na Microsoft, Marck Zuckerbergs na Facebook walipata mawazo ya biashara wakiwa ni wanafunzi wa elimu ya juu. Elimu yetu ni kinadharia sana kuliko vitendo.
Kijana aliyeanzisha New Concert Garden Soup, alikua ni mwanafunzi wa Biashara katika chuo kikuu cha Oxford. Hii ilikua project ya shule aliyopewa akiwa ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu.
Tuangalie kwanza ufundishaji wa mitaala yetu ni wapi tunakosea.
Kumbuka hiliMfanyabiashara anayepata Faida TZS 1,500,000/- na mwajiriwa anayepata mshahara TZS 1,500,000/- hawana tofauti ya mapato. Issue ni matumizi ya Faida wanayopata kwa mwezi. Hilo Moja!
Jambo la pili namna Lila mmoja anajiongeza kujazia kipato. Mfanyabiashara kukuza biashara yake na mwajiriwa kuwa na kipato Cha ziada. Then tunarejea pale pale, matumizi yakoje?
Ima tuweke Hili jedwali yaishe!
Kipato. Matumizi
Mfanyabiashara
Mwajiriwa
Hilo hi kweli!Kumbuka hili
Ukifa umeajiriwa watoto wako hawatarithi ajira yako ila ukifa una biashara watoto wako watarithi biashara zako.
Kujiajiri haijalishi umeajiriwa , lakini kwa swala la muda mi ningependekeza kujiajiri ili biashara ikuwe uajiri wengine. kama una mpango biashara bora na mtaji.Good wish to all
Moja ya definition ya maisha ni mapambano na moja ya definition ya mafanikio ni ushindi,
Nilikuwa natafakari kitu nikasema ngoja nishare na home of great thinker. Dunia ya sasa watu wengi sana tunahimizwa kujiajiri hasa kipindi hiki cha tatizo la kidunia la ajira.
Hoja yangu, wapo watu wameajiriwa serikalini na sekta binafsi na wanalipwa mshahara mzuri tu may be 3m ambao kwa tz unaweza ukaishi vizuri sana wanahimizwa wajiajiri ambapo kwenye upande wa kujiajiri ni biashara chache sana zinaweza kukupa pato hilo kwa mwezi kama faida na tena sio uhakika. Na kwa nn mtu akiamua kuajiriwa na akatumia sehemu ya kipato chake kujiajiri wengi wao huwa wanapitwa mafanikio na watu waliocha ajira na wakajiajiri completely. Kuna siri gani katika ulimwengu wa kujiajiri ambao unamtaka mhusika awe direct involve kwenye hicho alichojiajiri na mafanikio yake.
Au kujiajiri ni overarated?
Au kuajiriwa ni underated? or it depend with month salary?
Kuna siri gani iliyojificha nyuma ya kujiajiri ambayo ni msingi wa mafanikio. Kuna mtu aliacha kazi yenye mshahara wa 6m plus bonus akaenda kujiajiri.
Je mishahara ya kwa mwezi na faida za kwenye biashara zote zikiwa sawa nini kitatokea Nani atakuwa amewin na nani atakuwa amelose.
Mlioacha kazi na mkajiajiri tupeni hizo siri na sisi tufanikiwe.
Help me guyz
Huu uzi ulishafungiwamjadala mzuri lakn wachangiaji wako kwenye zile nyuzi zetu pemdwa za ulishwahi kula tunda kimasiara... huku hawana habar nako..
yani unaweza ukawa umeajiriwa ila wewe ni mjasiriamali sasa hapo kuna swala la muda kujigawa kwenye kazi mbili ndio mana mimi nikasema bora ni kujiajiri ili uajiri wegine ,maelezo mazuri zaidi ya hapo sinaPoint yako sijaelewa mkuu ebu iweke vizuri
Elimu ni msingi wa mambo mengi muhimu, japo kuna watakaosema huhitaji elimu kuwa mfanya biashara lakini mifano hai niliyonayo, wafanya biashara wakubwa duniani kama Bill Gate na Microsoft, Marck Zuckerbergs na Facebook walipata mawazo ya biashara wakiwa ni wanafunzi wa elimu ya juu. Elimu yetu ni kinadharia sana kuliko vitendo.
Kijana aliyeanzisha New Convert Garden Soup, alikua ni mwanafunzi wa Biashara katika chuo kikuu cha Oxford. Hii ilikua project ya shule aliyopewa akiwa ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu.
Tuangalie kwanza ufundishaji wa mitaala yetu ni wapi tunakosea.