Debate kati ya Zitto na Lema.

Umaarufu upi ambao lema aaweza kuutafuta leo....
 
Akili kama ya kuku..

 
Last edited by a moderator:
Lumumba wanajitahidi kweli kuwagombanisha LEMA na ZITTO lakini naona wanachemsha sijui watatafuta mbinu gani sasa
 
Mmmh! Wapiganapo mafahali wawili ziumiazo nyasi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Tujiulize tu kati ya hao nani mwenye hoja zenye mashiko bungeni!
 

Akampambanishe Kapuya na Mwigulu, nani Mkali kiunoni?
 
Hii nchi kwisha kazi yake, nguvu kazi ya taifa kutumia muda mwingi kujadili majungu wakati kuna mambo ya muhimu kwa Taifa, kuna siku hata kama ni baada ya miaka 30 tutakuja kukumbuka sana huu muda unao potea kwa kupiga majungu.

Mkuu nakubaliana na wewe ktk hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…