el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,064
Acha fix bado tupo nae? nani kasema bdo tupo nae?
kazi zake
Acha fix bado tupo nae? nani kasema bdo tupo nae?
kazi zake
Niliumizwa sana na kifo chake hasa baada ya kugundua kumbe ni legend mkubwa kuwah kutokea
The best ever
Video zake mbona hazichezwi sana kwenye tv na radio mara moja moja sana tena mwaka unaweza kupita sijaona video zake kwenye tv