Dear

Hapa bongo hatuko seriouse na jambo, nyumba inaungua unapiga simu fire saa nzima hakuna anayepokea, itakuwa kuibiwa simu ndio watu watastuka?? nina mashaka.
 

Pearl hapa nilipo ukiibiwa simu unapiga kwa service provider wako ukiwapa namba yako mchezo umekwisha,watablock hio namba na handset,mtu yeyote hataweza kufungua hio simu ndani ya hii nchi,lakini simu hii ikitoka nje ya hii nchi ikaenda kama tanzania inatumika kama kawaida na hawawezi kuifunga,kuna habari(nimesikia,siwezi kuthibitisha) VODAFONE UK waliongea na VODACOM TZ washirikiane kuhusu hizi simu za wizi ili waziblock zisifanye kazi hata tanzania lkn VODACOM TZ walikataa kwa sababu kuna simu za kichina(counterfeit) nyingi zinatumia IMEI moja kwahio kama hio simu original moja ikiibiwa wakiifunga watafunga fake nyingine hata million which is unfair.
 


asante kwa kutuhabarisha ila kifupi cm ikifungwa na provider uwezi kuifungua popote duniani bila kuifungua kwanza kwani itakuwa nitambua provider huyo huyo alofunga unazoona zinakuja uku zinafanya kazi ni mpaka ziunlokiwe au kuflashiwa zinafanya kazi kama kawa ata ikurudi tena uk inafanya kazi
 




ahsante wewe mzalendo wa kweli.
 
Eti eeeeh?
 
Eti eeeeh?

ata hapa tunazo tunazoita za promtion za voda, zain na zantel zote zinakuwa zimefungwa kutumiamtandao husika tu ata uende nayo wapi ni mpaka uifungue sawa
 
ukome na tabia yako chafu! weka hoja!
EEEEEEH MM NDO NIKOME?
 
Hii inasaidia kwa weupe sio kwa weusi huku sijui utaipataje GPRS ya Manzese kwa mfuga mbwa au Tandale kwa mtogole kazi bure.
 
So sorry swty baibo inasema samehe 7*70,plz nisamehe sitarudia tena,plz one mo chance,mm c malaika,naomba nisamehe dia,hakika ni mkosaji maana mtu mzima hasemi uongo,naomba nisamehe tafadhali,nisamehe mpz.


ohooo swht u dont have to say all this pls i forgive u baby
 
Thx darling,at least cku yangu itakuwa njema,i was breathless without ur forgiveness
ohooo swht u dont have to say all this pls i forgive u baby
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…