Kwa hiyo mimi fundi bomba naweza kutunukiwa pia?Ukufunzi hauna chama, jiunge utunukiwe kitivo.
Usione soo kusema nao, wakufunzi wako wachache sana.
Kwa hiyo mimi fundi bomba naweza kutunukiwa pia?View attachment 1659889
Nikufate..?Mkufunzi,
Natumaini umesherehekea sikukuu salama. Dhumuni la huu uzi ni kusema yaliyo moyoni mwangu kabla mwaka 2021 haujaingia.
Tumefahamiana hapahapa JF ila wewe ni mkufunzi haswa, lengo si kumwaga kuku kwenye magunia ya mpunga laah hasha bali waelewa... nikiweka ujumbe huku halafu nikakutupia link ya huu uzi wasap najua utakuja kusoma.
Mkufunzi hakuna siku nimeacha kukupenda, (I liked you for real and I love the way you drive in my dreams...) sijui utaniona kigeugeu ila uwepo wako kwenye maisha yangu nauthamini sana sana sana. Umenifunza mambo mengi sana ikiwemo kuacha kuvuta ban-nge
Baada ya kipindi cha pili cha mwaka huu nimekuwa nikikusumbua sana hatimaye nilifanikiwa kutimiza ahadi moja ya tatu nilizokuahidi.
Najua vile umetingwa na kazi ila ningetamani kabla mwaka mpya haujaisha uniruhusu nimalizie zile ahadi mbili nilizisema kwako.
Wako raia mtiifu,
Dada Kasie wa Mkufunzi π
NB: Ikiwezekana tafadhali kuanzia sasa usiniite tena dada Kasie bali Mkufunzi Kasie kwani tayari nimetunukiwa kitivo. π₯
(Luv You) π.
π π π π π πKwa hiyo mimi fundi bomba naweza kutunukiwa pia?View attachment 1659889
Mkufunzi,
Natumaini umesherehekea sikukuu salama. Dhumuni la huu uzi ni kusema yaliyo moyoni mwangu kabla mwaka 2021 haujaingia.
Tumefahamiana hapahapa JF ila wewe ni mkufunzi haswa, lengo si kumwaga kuku kwenye magunia ya mpunga laah hasha bali waelewa... nikiweka ujumbe huku halafu nikakutupia link ya huu uzi wasap najua utakuja kusoma.
Mkufunzi hakuna siku nimeacha kukupenda, (I liked you for real and I love the way you drive in my dreams...) sijui utaniona kigeugeu ila uwepo wako kwenye maisha yangu nauthamini sana sana sana. Umenifunza mambo mengi sana ikiwemo kuacha kuvuta ban-nge
Baada ya kipindi cha pili cha mwaka huu nimekuwa nikikusumbua sana hatimaye nilifanikiwa kutimiza ahadi moja ya tatu nilizokuahidi.
Najua vile umetingwa na kazi ila ningetamani kabla mwaka mpya haujaisha uniruhusu nimalizie zile ahadi mbili nilizisema kwako.
Wako raia mtiifu,
Dada Kasie wa Mkufunzi [emoji6]
NB: Ikiwezekana tafadhali kuanzia sasa usiniite tena dada Kasie bali Mkufunzi Kasie kwani tayari nimetunukiwa kitivo. [emoji1635]
(Luv You) [emoji182].
Dada kasie unaakili nyingiiii mm sijaelewa Ujumbe huu kbsa
Hongera kwa kukufunzwa na mkufunziMkufunzi,
Natumaini umesherehekea sikukuu salama. Dhumuni la huu uzi ni kusema yaliyo moyoni mwangu kabla mwaka 2021 haujaingia.
Tumefahamiana hapahapa JF ila wewe ni mkufunzi haswa, lengo si kumwaga kuku kwenye magunia ya mpunga laah hasha bali waelewa... nikiweka ujumbe huku halafu nikakutupia link ya huu uzi wasap najua utakuja kusoma.
Mkufunzi hakuna siku nimeacha kukupenda, (I liked you for real and I love the way you drive in my dreams...) sijui utaniona kigeugeu ila uwepo wako kwenye maisha yangu nauthamini sana sana sana. Umenifunza mambo mengi sana ikiwemo kuacha kuvuta ban-nge
Baada ya kipindi cha pili cha mwaka huu nimekuwa nikikusumbua sana hatimaye nilifanikiwa kutimiza ahadi moja ya tatu nilizokuahidi.
Najua vile umetingwa na kazi ila ningetamani kabla mwaka mpya haujaisha uniruhusu nimalizie zile ahadi mbili nilizisema kwako.
Wako raia mtiifu,
Dada Kasie wa Mkufunzi π
NB: Ikiwezekana tafadhali kuanzia sasa usiniite tena dada Kasie bali Mkufunzi Kasie kwani tayari nimetunukiwa kitivo. π₯
(Luv You) π.
Nakuja na marungu..π€£Aahahaaaaa uje na msosi, mapochopocho na vinywaji π