Dear Miss Leejay49

Nishaonekana mbaya bro, ngoja niache yalivyo. Huku hutakiwi kukosoa kabisa ukiona post kama hii kazi yako ni moja uwe unasifia tu. Hata we hapo tayari unatonekana ni tatizo
Nimechukua ushauri wa lamomy, case closed.
 
Ila Manyanza kweli ww wanakulazimisha kugombana, ugomvi sio sehemu yako kabisaa.!! πŸ˜‚
Yani adui anatoa kisu ww unamkabidhi pistol akumalize 🀣🀣🀣
Wizzy muache Manyanza ni swahiba angu
Nimekuelewa lamama, case closed.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ eee Manyanza unaitwa
 
Nimesoma huu ujumbe wako wewe endelea tu kuja dm leta MAUA mimi napeleka FEDHA nadhani umeona alichofanywa baba levo na harmonize...!! Mwache huyo binti mara 1
 
U also have a gud English.
 
Niko vyedi nakaribia kumalizia UE niwe huru sasa . πŸ™‚
Shule inachosha ujue.

Wadogo zangu hawajambo?
Pole na hongera.
Ukimaliza UE tutaenda vacay kidg thatha na ba ako wa kambo😁😁😁
 
Pole na hongera.
Ukimaliza UE tutaenda vacay kidg thatha na ba ako wa kambo😁😁😁
We sema kweli mum . Vacay ya wapi Tena ? πŸ˜†πŸ˜‘

Sema natamani nifike mwanza siku Moja ndio mkoa pekee mkubwa wa kuvutia ambao sijawahi tia mguu wangu hapo .

Tutapanga TU lkn usihofu πŸ₯°
 
We sema kweli mum . Vacay ya wapi Tena ? πŸ˜†πŸ˜‘

Sema natamani nifike mwanza siku Moja ndio mkoa pekee mkubwa wa kuvutia ambao sijawahi tia mguu wangu hapo .

Tutapanga TU lkn usihofu πŸ₯°
Tutamuuliza kwanza step dad tunaenda wapi😁😁😁😁😁.

Uje siku moja utembee tembeee.
Yeah tutapanga.
 
Umeshapoteza mkuu. Ngoja nimpe dili la kutengeneza madirisha ya Aluminium 24
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…