Street College
Senior Member
- Jun 1, 2012
- 151
- 430
Shida ni pale wewe over 30 unapofanya vitu kama ndio upo kwenye balehe. Punguza shobo mtoto wa kiume.Achana naye huyo ni under 20 sitaki kutumia eneji nyingine kujibizana naye πππ
Mbona hamna, sema ni credits tuππ€Kipi nilichoandika kina muelekeo wa Kutongoza?
π€£ π€£ π€£
Huyu Countrywide ana PhD na ana ndoto za kugombea Uraisi wa URT hapo baadae, ameshindwa hata kuelewa huu uzi una maana gani ? Je huko State House ataelewa nini ? Si atakuwa kama Wakina Chief Mangungo wa Msovelo waliokuwa wanabadilishana Dhahabu/Almasi na Shanga ? π€£ π€£ π€£ π€£Mbona hamna, sema ni credits tuππ€
kukuita kaka tu ila mbona simpleNimepokea ushauri , uanze kabisa na mazoezi ya kuniita kaka mzuri mapema.
Urais wa nini..??? π€£π€£π€£π€£Huyu Countrywide ana PhD na ana ndoto za kugombea Uraisi wa URT hapo baadae, ameshindwa hata kuelewa huu uzi una maana gani ? Je huko State House ataelewa nini ? Si atakuwa kama Wakina Chief Mangungo wa Msovelo waliokuwa wanabadilishana Dhahabu/Almasi na Shanga ? π€£ π€£ π€£ π€£
This is for my numera uno @Nuzulatiππππ,
And no one knows (no one knows)
Why I'm into you (why I'm into you)
'Cause you'll never know what it's like to walk in our shoes (in our shoes)
And no one know (no one knows)
The things we've been through (things we been through)
Can never measure up to half of what I put you through (put you through)
That's why we'll break through
And I don't care what they say
I'm gonna be with you
I'm gonna be with you
I wanna be with you
And I don't care what they do
I'm gonna be with you
I'm gonna be with you
I'm gonna be with you
Mwenzio hizo mambo sizipendi nazichukuliaga km chit chat π€£π€£π€£π€£Nitakuanzishia na Wewe UZI kesho jioni ngoja nifuatilie contents zako humu πππ
Wange andaManaππ€£π€£
View: https://www.youtube.com/watch?v=cCCixmYasMI
Je ningemuwekea huu Wimbo Miss Leejay49 ingekuwaje mdogo wangu ? Intelligent businessman ? π€£ π€£ π€£ π€£
Kumbe unamkubali bro mpk unamuanzishia kampeni π€£π€£π€£Huyu tunamjua vizuri sana, anataka uraisi kama wa Marehemu Magufuli πππ
Itapendeza sana .kukuita kaka tu ila mbona simple
Siwezi kutoka nje ya key kabisa, na ndio maana nitapitia mabandiko yako kwanza, kuna Member humu nilimwanzishia akahojiwa na Members humu na akajielezea na carrier yake na hobbies zake nadhani alipata Connection kwenye kazi zakeMwenzio hizo mambo sizipendi nazichukuliaga km chit chat π€£π€£π€£π€£
Anyway naomba usitoke nje ya key, mjibu street college kwanza..!!
Usipoteze ladha ya pambano