Dear mama

Sikuwahi kujua wala kuuona upendo wa mama! Namshukuru bibi yangu na babu na mama yangu Mdogo kunilea na kunikuza.
Hao sijui baba na mama nimekuja kuwajua ukubwani, baada ya kuona maisha yanaanza kuninyookea ndio wakajileta leta kwangu!l.

Any way nawapenda sana baba na mama yangu na wadogo zangu lakini sijawahi kuhisi kuna anaenipenda kati ya hao! Mliobahatika kupendwa na mama zenu hongera kwenu, Mimi huu upendo wa ukubwani nawaangalia tu kisha natabasamu!

Washukuru Nina kauwezo wameishia kuwa tegemezi kwangu na ninawasomeshea watoto wao (wadogo zangu).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ata Mimi nashangaa ,kwanini akunitupa kwenye mtalo, Ila ukubwani ananichawia

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwanini unadhani mama yako Ndio amekuloga?? Nimekutana na case za hivi na hata mwezi uliopita kuna baba amepeleka mganga kijijini kwao akamtoe mama yake uchawi kwa kuwa eti anamloga. Akamjazia na kijiji [emoji31][emoji31][emoji31][emoji85][emoji85]
 
Tuliolelewa na Mama tunakuelewa mkuu......maana bimkubwa katupambania sana watoto wake kwakweli,baada ya dingi kufariki miaka 20 iliyopita na kutuacha 6........Mama ni mama kwakweli.

Wabarikiwe kina Mama wote duniani❤❤❤
 
Tuliolelewa na Mama tunakuelewa mkuu......maana bimkubwa katupambania sana watoto wake kwakweli,baada ya dingi kufariki miaka 20 iliyopita na kutuacha 6........Mama ni mama kwakweli.

Wabarikiwe kina Mama wote duniani[emoji173][emoji173][emoji173]

Baba akifa mama atasimamia shoo watoto wakue Kwa asilimia 100 Ila mama akifa baba akioa tu huenda Ndio mwisho wa huduma Kwa wanawe au huduma za kusua sua.

Wamama wote Mungu awape maisha yenye heri duniani
 
Honestly, hilo jambo nimewahi kumwambia Mama kuwa bora ulibaki wewe umetupigania,maana mshua mmh.....ngoja niishie hapo (japo nayeye baba alikuwa na mchango wake ila mama yetu ni shujaa)
 
Ww ndo uliua eti bora baba alitangulia....
Baba alifariki wakati niko darasa la 4,ila kwa namna tunayoyaona kwenye jamii,mama akiondoka na baba kubaki.....familia huwa inavurugika....na bahati nzuri nilihusika kwenye utafiti fulani wa watoto wa mitaani dsm.......nikapata majibu mazuri zaidi maana watoto kumi nilio wahoji Kati ya 17 walisema waliondoka kwao baada ya mama kufariki na baba kuoa mke mwingine
 
Kwanini unadhani mama yako Ndio amekuloga?? Nimekutana na case za hivi na hata mwezi uliopita kuna baba amepeleka mganga kijijini kwao akamtoe mama yake uchawi kwa kuwa eti anamloga. Akamjazia na kijiji [emoji31][emoji31][emoji31][emoji85][emoji85]
Kijiji gani mkuu isiwe nikawa Mimi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama Ndo Kiumbe Mwenye Thaman Yapekee Sana Ulimwenguni....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…