Dear ladies, be you...

Dear ladies, be you...

Kila mtu akikaa kwenye wajibu wake haya mambo hata si magumu kihivyo.
Ulichosema ni kweli wapigania haki wengi hata ndoa zilishawashinda.
 
Kila mtu akikaa kwenye wajibu wake haya mambo hata si magumu kihivyo.
Ulichosema ni kweli wapigania haki wengi hata ndoa zilishawashinda.
Sasa wanaume ...mkiombwa Hela na nyie mnaleta Hali sawa..ooh NAWEWE Katafute umekaa TU..
Sasa Mimi niondoke alfajiri nirudi sa Moja...Uanze kazi za nyumbani...kunakuchoka...

Kama wote mnafanya kazi... mwanamke hataweza simamia majukumu yooote ya ndani..Lazima ataihitaji mSAADa...
 
Mwanaume mwenye akili timamu na ajuaye wajibu wake ngumu sana kukujibu hivyo.
 
Unajua hiki kiswangilish nikajua tusi zaidi nikajua to moja ni typing error na d mwisho ni tafsida.
Unawaza ujinga[emoji23][emoji23]
IMG_23mw8e.jpg
 
Ndio maana ndoa nyingi zinavunjika siku hizi,,,,,binafsi nashukuru Mungu Kazi ndogondogo km hizo hazinisumbui kupika ndo napenda balaaaaaa
Umebarikiwa miongoni mwa Wanawake wengi, hakika ukiwa mke wangu nitafua na kusaidia kupika, kuosha vyombo kwa mwanaume ni ngumu sana
 
Umebarikiwa miongoni mwa Wanawake wengi, hakika ukiwa mke wangu nitafua na kusaidia kupika, kuosha vyombo kwa mwanaume ni ngumu sana
Ahahaha [emoji847][emoji847][emoji847] thanks,usijari vyombo t dk sifuri.
 
Kwakweli Mimi sio advocate wa haki sawa..
Nimtokea TU kuupendwa uanamke Wangu na nimeyakubali majukumu yanayokuja na huu uanamke..

Nafanya majukumu yangu, kupika,kufua, kuosha vyombo,kudeki n.k sioni taabu Wala hata...Kuna Muda unachoka ndio..na unahitaji kusaidiwa...

Mwanamke simama SEHEMU yako, It's not hard
Kwa maelezo haya, inaonekana ulifaa sana kuwa mke wangu
 
Back
Top Bottom