Dear Husband

Ndo maana ya ndoa eti.

Kugawa bila kipimo ilmradi usivuke mipaka aliyowrka Mungu.
Mtu kitu chake anachukua, hivyo huwezi kumgawia. Ila unagawa kitu kwa mtu ambaye hana haki miliki. Bado hujajibu swali langu kuwa tangu 2012 mpaka leo, hujaigawa?
 
Mtu kitu chake anachukua, hivyo huwezi kumgawia. Ila unagawa kitu kwa mtu ambaye hana haki miliki. Bado hujajibu swali langu kuwa tangu 2012 mpaka leo, hujaigawa?
Hapana.
 
Mtu kitu chake anachukua, hivyo huwezi kumgawia. Ila unagawa kitu kwa mtu ambaye hana haki miliki. Bado hujajibu swali langu kuwa tangu 2012 mpaka leo, hujaigawa?

Sio tangu 2012 tu.
 
Kutokujua hii lugha, kunanisababisha nikosea mambo mengi sana....[emoji29] [emoji29] [emoji29]
 
Nimekosa cha kuandika kabisa...

Ila nilitamani kuona ujumbe mrefu sana na mtamu as you always do.

Sometimes, it takes more words to drive the point home.

To elaborate so the reader can understand.

Other times it doesn't take much to be understood my beloved.
 
Daah uzi wa long sana, naona komenti za kina Kaunga, Kongosho etc sijui walipotelea wapi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…