Dear Husband

Gee! nilipoona umenitaja nikasema hamadi!!! hahahahaha lol! sijui Gee kishanipiga za uso za haraka haraka bila kujibu hata moja lol! 🙂🙂

Nakubaliana nawe kwamba kuprovide kwa mke na familia pekee haidumishi ndoa kama mke anamuona mwenzie hana muda kabisa wa kuwa na mke wake katika kufurahia kuwa pamoja. Wakati mwingine ni vitu vidogo vidogo kama kwenda movies, dansini kujirusha kwa raha zenu, mkae wenyewe tu wawili huku mkikumbatiana, kupigana kisses moto moto na kuambiana maneno mazuri na pia mume kuonyesha appreciation kwa mkewe. Wanaume wengine hata wakiambiwa na wake zao kwamba nini kinakosekana ndani ya ndoa yao wanakuwa kama wametia pamba masikioni. Hili linaweza kumfanya mke aamue "kuchepuka" au hata kubwaga manyanga baada ya kuona hakuna faida ya kuendelea kuwa ndani ya ndoa ambayo haridhiki nayo.

Sijui kama ana ubavu wa kuchukua hii sredi na kumwambia mumewe nimeona hii sredi kule JF nimeipenda naomba uipitie yote kisha tukae tuongee kuhusu ndoa yetu.


 
Gee! nilipoona umenitaja nikasema hamadi!!! hahahahaha lol! sijui Gee kishanipiga za uso za haraka haraka bila kujibu hata moja lol! 🙂🙂


Hahaha, kauli mbiu ya "mpaka kieleweke" inafanya kazi sawa bin sawia :]


Mtu unaenda kuchukua mtoto wa watu, kwao anapewa attention saa zote hata akifanya kipele, wewe humpi hata ndogo hata kwenye mambo yake makubwa.....ataweza wapi?!

Si unataka kumtia depression kuelekea wazimu tu (huyu mtoa mada anaonekana tayari yupo kwenye depression, ndo kuandika barua "hewa")



Kuna watu selfish. Akiambiwa nahitaji hili na hili, yeye hafanyi marekebisho kwa sababu yeye hana shida ile! As long as yeye yupo happy, anadhani na mwenziwe yupo happy, na japo akiambiwa haamini wala hakubali.

Sijui kama ana ubavu wa kuchukua hii sredi na kumwambia mumewe nimeona hii sredi kule JF nimeipenda naomba uipitie yote kisha tukae tuongee kuhusu ndoa yetu


Asijaribu. Manake alikwishaweka story yake yote kwenye thread nyengine. Kwa hiyo hapo Bwana Mkubwa akipekua kidogo tu atajua kuwa Bibie ndio kaleta hadithi hapa.
Atafute mbinu nyengine tu.
 
Mie afunge zote, mradi naiti fudi ana-supply inatosha

Haya ya saikolojikal nidz akina Bishanga wapo wanamsadia
Ya nini nijitese na mtu nimekuta na meno 32, tena ukute yalikuwa 33 moja akang'olewa

Na mimi naunga mkono 100%............hizi demand zenu zimezidi, ukikosa moja ukapata mbili shukuru.
Na wa mbili havai moja tambua
 
Mie afunge zote, mradi naiti fudi ana-supply inatosha

Haya ya saikolojikal nidz akina Bishanga wapo wanamsadia
Ya nini nijitese na mtu nimekuta na meno 32, tena ukute yalikuwa 33 moja akang'olewa

Umeona eeh......tatizo hizi tamthilia zenu za Acapulco bay na La revancha mnataka mzihamishie vyumbani halafu bahati mbaya stering' mwenyewe inabidi atafute rizki ndipo aje kucheza!
 

u r darling and u have a point mkuu. I started suffering from loneliness when I quit drinking and sobered up. I cant seem to stop feeling lonely, and am not clinging. I just want some time with him off his ever busy schedule. Am afraid of telling him because he may think am ungrateful. Maybe I should find a job and get busy but I dont see how the needs of this little heart of mine will be fulfilled by a job. P/s I do not watch soaps or love stories. I prefer reading material stuff.
 
Mie afunge zote, mradi naiti fudi ana-supply inatosha

Haya ya saikolojikal nidz akina Bishanga wapo wanamsadia
Ya nini nijitese na mtu nimekuta na meno 32, tena ukute yalikuwa 33 moja akang'olewa

Daaah..... Kongosho nimecheka mpaka machozi khaaa!
 
Last edited by a moderator:

thanks Kaizer kwa muda wa kupitia posts na kuelewa. Na pia kwa kunishauri, I will take it into considerations. Thanks again :*
 
Last edited by a moderator:
you are her hobby. Its hard to let go of your hobby, Neh? Ni kama wewe uambiwe no more football. She would love to drink you, eat you, sleep you and watch you. Is that too much to ask?

my sentiments exactly. 😉
 

Ungrateful wa kitu gani?
 
Umeona eeh......tatizo hizi tamthilia zenu za Acapulco bay na La revancha mnataka mzihamishie vyumbani halafu bahati mbaya stering' mwenyewe inabidi atafute rizki ndipo aje kucheza!


Hahahahaha .....kiukweli wanawake huwa haturidhikagi jamani......na haitokaa itokee mwenzio akakuridhisha idara zote.....akipatia moja sana lazima moja iwe dhaifu.......pesa ikikosekana nyumbani ni tatizo na ndio mana wababa/wakaka wa watu wanakimbizana mpaka wanatusahau kama tuko dunia hii......na hii tabia ya wadada/wamama kupenda pesa kuliko mtu ndio inasababisha hawa wenzetu wakimbizane ili kutufanya wenye furaha!

Kiukweli hakuna binadamu aliye mkamilifu.......mleta mada kaa na mwenzi wako umweleze vile ambavyo moyo wako hauna furaha then uone kama atabadilika .....wakati mwingine labda mwenzio hajui kama uko kwenye hayo mateso!
 

ha ha haaaaaaaa. Thanks for the laugh
 
Labda tuongee nao kwa kilatin, kiswahili or english they dont understand! Wapo busyyyyyyy, wanatuacha tu, realy boring!

boring is an understatement cacico
 
Tatizo wanaume wanasahau mwanamke alitoka kwao akamfata yeye sio hela,nyumba na vilivyomo coz hizo material hata kwao zipo jaman

santeeee
 

wakati mwingine una busara khaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…