Dear Chadema, so WHO IS NEXT?

Leo Bwana Anthony Komu ndiye NEXT...,30 na Qbenehyaaa... to Foĺlow... Oooh Wapi Japharay Mitchel???
 
Leo Bwana Anthony Komu ndiye NEXT...,30 na Qbenehyaaa... to Foĺlow... Oooh Wapi Japharay Mitchel???
 
Unajidanganya. Kwa namna wanavyopiga kazi ndani ya serikali, hawana madhara na wanapigana kulinda vitumbua vyao. Mfano Naibu Waziri TAMISEMI
Sio kwamba chadema inarudisha mabomu tumboni mwa chatu ili kumfumua kutokea ndani? Nawaza tu.....
 
S
Subiri mwaka huu wa 2020 muone kama mtapata hata kira buku!
 
S

Subiri mwaka huu wa 2020 muone kama mtapata hata kira buku!

Kura buku mbona nyingi sana? Kama tume ya uchaguzi itakuwa huru, kura zitavuka 40%. Ila kama ni hii tume inayopewa maagizo na jiwe, hata kura 3 ni nyingi sana.
 
Duh...!, kiukweli jf kubwa!. Huu uzi ndio nauona leo!.
Asante Mkuu Chahali nitachangia mawili matatu.
P
 
Mkuu Chahali, hili la kirusi Chadema ni kweli. Kwa viile si rahisi kubaini who is who, na kwa vile wewe ulikuwa official wa kitengo, hivyo wale maofisa wenzako wa level ya uofisa mnajuana ndio maana umemtaja Mbunge mmoja na Diwani mmoja, lakini hata wewe na wana kitengo wengine can not tell who is who.

Ila pia kuna watu wa kawaida tuu ambao wala sio watu wa kitengo, ila wana jicho tunduizi la kuweza kuiona sindano iliyoanguka kwenye mchanga from a distance, hili la kirusi Chadema waliliona tangu kitambo na wakawaeleza Chadema hata kabla ya 2015 unayoisema wewe.

Angalia tarehe ya bandiko hili na ujiulize huyo kirusi ni wa lini na ni nani!

CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind? - JamiiForums
P
 
Hakuhitaji akili nyingi au degree nyingi ama jicho la 'kijasusi' ati kwanini wanahama. Sababu zi wazi kabisa na kubwa ya zote ni MASLAHI binafsi.
 
Dr. Mashinji amewajibu watanzania wengi sana waliokuwa wamejitoa ufahamu kanakwamba hawajui sababu ya upinzani kuhamia CCM. "Jibu ni tumbo" huwezi mkataa Mungu ukamkubali shetani. Nafikiri baada ya Dr Mashinji kuandika kilichomwondoa Chadema atakaeendelea kuhoji kwanini huyo atakuwa mpumbvu na mjinga!
 

Any one can be the next......
 
Na hili lipo kwa vyama vyote! Kuna waliotoka Ccm kwenda CDM kwa maslahi ya urais na vyeo,wamekosa wamerudi walipotoka!
 
Hakuhitaji akili nyingi au degree nyingi ama jicho la 'kijasusi' ati kwanini wanahama. Sababu zi wazi kabisa na kubwa ya zote ni MASLAHI binafsi.
Hoja ya jamaa ni kuwa mnatakiwa kuwajua hao ambao wapo kimaslahi zaidi ili muweze kuchukua hatua na kuimarisha upinzani! Kitendo cha kutowajua ndio kinaibua hoja kwenye bandiko hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
D
Double std unapopatta maslah ya kupoza njaa huwa unaunga upanfe mmoja, baada ta kudhulumiwa pesa na Komrade Kinana alizokuahidi umekuwa mwiba Mkali kwa Ccm. Kwa sasa unajifanya uko neutral.
 
Mchezaji wa Barcelona hawezi kusajiliwa moja kwa moja kwenda real Madrid.....lazima aendea kwanza labda huko Ossasuna...etc
 
Kura buku mbona nyingi sana? Kama tume ya uchaguzi itakuwa huru, kura zitavuka 40%. Ila kama ni hii tume inayopewa maagizo na jiwe, hata kura 3 ni nyingi sana.
Good! Kila mtu anatakiwa kujua 'nafasi' yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…