Dear Chadema, so WHO IS NEXT?

Huyu jamaa ni wa kumpuuza tu.Hii hama hama haisaidii CCM kwa lolote kwani maisha ya mtanzania ni kila siku afadhali ya jana.
 
Chahali hatakiwi kubishiwa anajua kila kitu na ukimbishia utakula block. Sometimes nawaza jf ingekuwa ni mali ya wanaharakati aina ya chahali kusingekuwa na uhuru wa maoni hapa jamvini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwii aisee umechamba ndungu,emu kumbuka wakati mbowe anampokea lowassa alisemaje ,watu wengi tanzania ndio waliijua chadema Siku lowassa alipojiunga .

Kuhusu kutoa kadi,hilo mbona alifanya kwenye mikutano ya kampeni,mie nilipata kadi yangu ya cdm kwenye mkutano wake.

Kuhusu kujenga ofisi ,hilo liko wazi silijibi hapa.

Ila kiukweli luwsaa alikuwa na mchango mkubwa sana katika kuipa uhai cdm,na sema ndio vile ti dk slaa alimkimbia,ila kama wangekuwa pamoja nakuhakikishia now ccm ingekuwa chalii,kifo cha mende.
 
Hawa watu pamoja na kuwa na PhD za maganda ya korosho kukuelewa hapa ni ngumu.wao wanadhani sisi tunataka flyovers au ndege though vinanunuliwa kwa pesa yetu.sisi wengine tumechoka ccm na siasa zao uchwara.na tunaumia sana tunapoona nchi za wenzetu zikiwa zinatembea while sisi tupo busy kupokea wanachama wa chma
 
Bado haijalishi. Chadema mu wachanga sana
 
Kwa akili yako hawa kujuwa mbona wewe umekuwa zezeta lipi wasilolijuwa
 
Mkuu Chahali hivi kuna siku itatokea ccm imekubali kushindwa kwa kura na kuacha upinzani uongoze nchi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Who is next kuondoka cdm au kuwa mjumbe wa kamati kuu kujaza nafasi ya Lowassa? Afafanue

Does it really matter who is next? Jambo la msingi ni je, yeyote anayeondoka anafanya hivyo kwa utashi we kisiasa na kuvutiwa na falsafa ya kisiasa ya upande wa pili? Kama ndiyo basi hiyo ndiyo siasa. Kinyume chake tumeruhusu hoodlums kuliangamiza taifà letu.
 
Hivi kuna mwanachadema anajivunia kura mil 6 za Lowasa kuwa ni za wananchi kuiamini CHADEMA?
 
Hivi kuna mwanachadema anajivunia kura mil 6 za Lowasa kuwa ni za wananchi kuiamini CHADEMA?

Kura million sita hazikuletwa na Lowassa bali alizokuta, tena zilipungua, Slaa angegombea zingezidi.
 
Mkuu
Mbona TANU ilitoboa wakati wa ukoloni? Acheni visingizio. Nyie bado wachanga sana
mkuu nadhani unachosema ni kwamba Chadema wanatakiwa wapenetrate hata kwenye vyombo vya dola same way wanavyofanya ccm,mimi nilidhani tunatakiwa tulaani huu ujinga wa ccm wa kuviingiza vyombo vya serikali kwenye siasa ili kisimame chenyewe kama chama cha siasa ila kuvishauri vyama vingine vijiingize pia huko ni hatari.unless kama umevimbiwa na makande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…