Agreed,if his performance is poor,why are still up with him?, are you waiting to insult him after depar, as you do now to Lowassa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nchi kama hii ambayo dola inafanya siasa mnalaumuje chadema?mnajua kwanini katiba ilikataza dola kufanya siasa?Drill is the same: kila anayehama "acha aende zake"... eti alikuwa na mapungufu flani, japo laiti ungejaribu kuyataja mapungufu hayo kabla hajahama ungeambulia matusi.
Both Chadema na CCM wana uhasama mkubwa dhidi ya ukweli. Waambie ukweli utaitwa kila aina ya jina baya kama si kutukanwa kila aina ya tusi.
Lakini ukweli una tabia moja ya msingi: kuukataa ukweli hakuufanyi kuwa uongo. Ukweli hubaki kuwa ukweli.
Na moja ya ukweli ambao ndugu zangu wa Chadema wanaukwepa ni kwamba kuna virusi vinavyokitafuna chama hicho, virusi vya asili (vinavyopandikizwa na Kitengo: mbunge mmoja wa chama hicho ni afisa wa kitengo sambamba na diwani mmoja) na virusi vilivyoingia kwa kasi mwaka 2015 wakati chama hicho kilipolamba matapishi yake - kwa kumwandama Lowassa miaka 9 mfululizo kuwa ni fisadi kabla ya kumpokea na kumfanya mgombea urais.
Intelijensia ya Chadema ilikuwa imara sana enzi za kina Dokta Slaa. Ndio iliyoiwezesha Chadema kupata nyaraka mbalimbali muhimu zilizokiwezesha chama hicho kuwa mahiri katika kuibua ufisadi.
Na intelijensia hiyo ilikuwa mahiri pia katika kubaini hujuma mbalimbali dhidi ya chama hicho.
Yayumkinika kuhisi kuwa laiti ingekuwa zama hizo, basi huenda wenye mipango ya kuhama wangejulikana mapema na pengine kuchukuliwa hatua stahili.
Ni rahisi kujihadaa kuwa "acha waende" ilhali hamjui WHO IS NEXT. Kwa sababu hata Lowassa alikuwa anasema hivyo hivyo "acha waende" lakini nae kafuata mkumbo.
Ni rahisi kujihadaa kuwa hamahama hii haina athari lakini kama Chadema itajihangaisha kufikiria athari za hamahama hiyo sio kwa wanachama wao bali "watu wasio na vyama" - kundi muhimu kabisa katika siasa za chaguzi za Tanzania - itabaini kuwa ina kazi ya ziada kulishawishi kundi hilo kuwa chama hicho kinastahili kuendelea kuaminiwa.
Back to swali la msingi: Je Chadema inaweza kutuambia WHO IS NEXT (and may be WHO ISN'T)?
Sent using Jamii Forums mobile app
Time and tide wait for no manPlease don't get me wrong, Am not insulting him, what Am saying he is underperforming and this is a naked truth. About him being in the office I'm not a decision maker.
Hivi Chadema wanatakiwa wamshawishi nani na kwa faida ya nani? Kama tunadhani kile tulichofanyiwa na ccm kizuri au kibaya,kidogo au kikubwa ndani ya miaka 58 ya uhuru ndo sitahi yetu na tunataka waendelee kututawala basi acha waendelee,ila kama tulivhofanyiwa si kile tunachositahili basi hatuhitaji chama wala mtu wa kutushawishi ili tuikatae ccm, maana tutakuwa hatuna cha kupoteza kwa kuikataa ccmDrill is the same: kila anayehama "acha aende zake"... eti alikuwa na mapungufu flani, japo laiti ungejaribu kuyataja mapungufu hayo kabla hajahama ungeambulia matusi.
Both Chadema na CCM wana uhasama mkubwa dhidi ya ukweli. Waambie ukweli utaitwa kila aina ya jina baya kama si kutukanwa kila aina ya tusi.
Lakini ukweli una tabia moja ya msingi: kuukataa ukweli hakuufanyi kuwa uongo. Ukweli hubaki kuwa ukweli.
Na moja ya ukweli ambao ndugu zangu wa Chadema wanaukwepa ni kwamba kuna virusi vinavyokitafuna chama hicho, virusi vya asili (vinavyopandikizwa na Kitengo: mbunge mmoja wa chama hicho ni afisa wa kitengo sambamba na diwani mmoja) na virusi vilivyoingia kwa kasi mwaka 2015 wakati chama hicho kilipolamba matapishi yake - kwa kumwandama Lowassa miaka 9 mfululizo kuwa ni fisadi kabla ya kumpokea na kumfanya mgombea urais.
Intelijensia ya Chadema ilikuwa imara sana enzi za kina Dokta Slaa. Ndio iliyoiwezesha Chadema kupata nyaraka mbalimbali muhimu zilizokiwezesha chama hicho kuwa mahiri katika kuibua ufisadi.
Na intelijensia hiyo ilikuwa mahiri pia katika kubaini hujuma mbalimbali dhidi ya chama hicho.
Yayumkinika kuhisi kuwa laiti ingekuwa zama hizo, basi huenda wenye mipango ya kuhama wangejulikana mapema na pengine kuchukuliwa hatua stahili.
Ni rahisi kujihadaa kuwa "acha waende" ilhali hamjui WHO IS NEXT. Kwa sababu hata Lowassa alikuwa anasema hivyo hivyo "acha waende" lakini nae kafuata mkumbo.
Ni rahisi kujihadaa kuwa hamahama hii haina athari lakini kama Chadema itajihangaisha kufikiria athari za hamahama hiyo sio kwa wanachama wao bali "watu wasio na vyama" - kundi muhimu kabisa katika siasa za chaguzi za Tanzania - itabaini kuwa ina kazi ya ziada kulishawishi kundi hilo kuwa chama hicho kinastahili kuendelea kuaminiwa.
Back to swali la msingi: Je Chadema inaweza kutuambia WHO IS NEXT (and may be WHO ISN'T)?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa yake. Hata tuliodhani walikuwa na akili tukiwauliza kwanini mmepitisha huyu majibu yalikuwa mara Dr Slaa katupiwa vilago, mara kafungiwa na mkewe, mara heri tuingie ubia na shetani...Hakuna aliyekuja na jibu linaloeleweka.A good question to begin with.
Mimi naamini CHADEMA ingepata kura zile hata Sugu au Lema angegombea.
Angegombea Slaa huenda angevuka kura hizo.
Sasa tujiulize viongozi wa CHADEMA waliompitisha Lowassa kuiwakilisha CHADEMA waliwaza nini?
Hivi nini maana ya " tunajifunza kutokana na makosa?"A good question to begin with.

Wew sherehekea kupokea hilo fisadi maana limeona upande wa cdm hawana tabia za kifisadi limeona lirudi kundin kuendeleza ufisadi wake.Makamanda Mechanganyikiwa Hata hamuelewi mnachopinga mnachokataa au mnachokubali. Ngija huyo mgonjwa wa Belgium naye akirudisha majeshi na kujisalimisha CCM
Hivi nini maana ya " tunajifunza kutokana na makosa?"A good question to begin with.
Mimi naamini CHADEMA ingepata kura zile hata Sugu au Lema angegombea.
Angegombea Slaa huenda angevuka kura hizo.
Sasa tujiulize viongozi wa CHADEMA waliompitisha Lowassa kuiwakilisha CHADEMA waliwaza nini?
Sasa ninyi wenye akili tusaidieni why viongozi wote wa ccm wameenda kumpokea huyo?Pesa yake. Hata tuliodhani walikuwa na akili tukiwauliza kwanini mmepitisha huyu majibu yalikuwa mara Dr Slaa katupiwa vilago, mara kafungiwa na mkewe, mara heri tuingie ubia na shetani...Hakuna aliyekuja na jibu linaloeleweka.
Alishasafishwa na chadema. Lowassa siyo fisadi tenaWew sherehekea kupokea hilo fisadi maana limeona upande wa cdm hawana tabia za kifisadi limeona lirudi kundin kuendeleza ufisadi wake.
Mbona TANU ilitoboa wakati wa ukoloni? Acheni visingizio. Nyie bado wachanga sanaUchanga wa cdm kwenye siasa ni kukosa nguvu kwenye maamuzi ya vyombo vya dola tu. Ccm nje ya vyombo vya dola ni dhaifu kuliko maelezo.
Baada ya kusafishwa huko Ufipa"Alipo wapo"
The price for some mistakes is too high to incur.Hivi nini maana ya " tunajifunza kutokana na makosa?"
Mbona TANU ilitoboa wakati wa ukoloni? Acheni visingizio. Nyie bado wachanga sana
We don't care about who is next, upinzani umo ndani ya mioyo ya watu, people need change,and change don't need people.Drill is the same: kila anayehama "acha aende zake"... eti alikuwa na mapungufu flani, japo laiti ungejaribu kuyataja mapungufu hayo kabla hajahama ungeambulia matusi.
Both Chadema na CCM wana uhasama mkubwa dhidi ya ukweli. Waambie ukweli utaitwa kila aina ya jina baya kama si kutukanwa kila aina ya tusi.
Lakini ukweli una tabia moja ya msingi: kuukataa ukweli hakuufanyi kuwa uongo. Ukweli hubaki kuwa ukweli.
Na moja ya ukweli ambao ndugu zangu wa Chadema wanaukwepa ni kwamba kuna virusi vinavyokitafuna chama hicho, virusi vya asili (vinavyopandikizwa na Kitengo: mbunge mmoja wa chama hicho ni afisa wa kitengo sambamba na diwani mmoja) na virusi vilivyoingia kwa kasi mwaka 2015 wakati chama hicho kilipolamba matapishi yake - kwa kumwandama Lowassa miaka 9 mfululizo kuwa ni fisadi kabla ya kumpokea na kumfanya mgombea urais.
Intelijensia ya Chadema ilikuwa imara sana enzi za kina Dokta Slaa. Ndio iliyoiwezesha Chadema kupata nyaraka mbalimbali muhimu zilizokiwezesha chama hicho kuwa mahiri katika kuibua ufisadi.
Na intelijensia hiyo ilikuwa mahiri pia katika kubaini hujuma mbalimbali dhidi ya chama hicho.
Yayumkinika kuhisi kuwa laiti ingekuwa zama hizo, basi huenda wenye mipango ya kuhama wangejulikana mapema na pengine kuchukuliwa hatua stahili.
Ni rahisi kujihadaa kuwa "acha waende" ilhali hamjui WHO IS NEXT. Kwa sababu hata Lowassa alikuwa anasema hivyo hivyo "acha waende" lakini nae kafuata mkumbo.
Ni rahisi kujihadaa kuwa hamahama hii haina athari lakini kama Chadema itajihangaisha kufikiria athari za hamahama hiyo sio kwa wanachama wao bali "watu wasio na vyama" - kundi muhimu kabisa katika siasa za chaguzi za Tanzania - itabaini kuwa ina kazi ya ziada kulishawishi kundi hilo kuwa chama hicho kinastahili kuendelea kuaminiwa.
Back to swali la msingi: Je Chadema inaweza kutuambia WHO IS NEXT (and may be WHO ISN'T)?
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa jinsi mambo yalivyo Mbowe anahamia CCM.