Dear Chadema, so WHO IS NEXT?

Sasa hivi ndio mnakiri kura milioni sita zilitokana na kazi nzuri ya viongozi waliokuwepo mbona mlikuwa mnamshambulia Dr. Slaa
A good question to begin with.
Mimi naamini CHADEMA ingepata kura zile hata Sugu au Lema angegombea.

Angegombea Slaa huenda angevuka kura hizo.

Sasa tujiulize viongozi wa CHADEMA waliompitisha Lowassa kuiwakilisha CHADEMA waliwaza nini?
 
Sasa hivi ndio mnakiri kura milioni sita zilitokana na kazi nzuri ya viongozi waliokuwepo mbona mlikuwa mnamshambulia Dr. Slaa

Huenda unadhani unaongea na mtu mwenye uelewa finyu wa haya mambo. Nina ufahamu wa kutosha na hiki ninachokiongea, nina post za kutosha ni kipi niliongea kabla ya jana Lowassa kuondoka. Sio mara moja au mbili niliwaambia watu waache upotoshaji kwamba Lowassa ndiye aliyeletwa kura 6m+ ndani ya cdm. Simply sibahatishi.
 

Kula tano mkuu. Huu ndio ukweli ambao hautakiwi kufahamika, ukitaka kuamini hebu zungumzia tume huru uone hamaki toka kwa viongozi wa ccm wanaoamini wanakubalika.
 
Who is next to depar from the chadema's party,aka "ufipa's saccos",answer please!

Sent using Jamii Forums mobile app

Who knows? Departing is not our concern and will not be. Nothing we can do about that as this is somebody's wish. Even if is Mbowe is quite ok with us, since that situation will not be the end of life. Do you have another question, do you?
 
Siasa za vyama vingi ndo kwanza ziko kwenye rika la ujana kwaiyo nimakosa kuhusisha ukomavu wa vyama vya upinzani na ccm iliyorithi nchi.Kwa akili ya kawaida cdm inaenda kujijenga vizuri zaidi uko mbele kuliko ilivyokua kwaiyo wacha waondoke wote ambao hawana taswira ya mapinduzi ili wabaki wenye fikra halisi za mabadiliko.Pamoja na kwamba kuna michango mingi inaliyotolewa na hao waliondoka ila mchango muhimu kabisa ni mchango wa fikra na sio fedha.Sasa mtaji wa vyama ni wananchi je vyama vya upinzani vina wananchi wanaoviunga mkono?.Kama jibu ni ndio nakuhakikishia kama kutakua fair play ground ccm bado itakua na wakati mgumu sana wakupambana na nguvu ya mabadiliko pamoja na kuondoka na wote tunaoona walikua na nguvu chadema.
 
Who knows? Departing is not our concern and will not be. Nothing we can do about that as this is somebody's wish. Even if is Mbowe is quite ok with us, as that situation will not be the end of life. Do you have another question, do you?
Yes, life goes on, i'm sure you know who is next ,but to what extent this situation affects your party for the coming election 2020?,

"Mashinji is the next"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes, life goes on, i'm sure you know who is next ,but to what extent this situation affects your party for the coming election 2020?,

"Mashinji is the next"

Sent using Jamii Forums mobile app

If the next one is Mashinji I will be more than happy, this guy so far he has poor efficiency in the office. I'm pretty sure cdm will benefit from his departure. Let's pray before God for this move to materialize. About 2020 general election only free and fair election will give us true results.
 
We jamaa ni mshamba sana na kitengo kila kitu kitengo kitengo iv unadhani we ndo wa kwanza kufanya kazi uko? Unashangaa et diwan kuwa kitengo...unatia aibu. Je una hakika gan pia hao wanaweza toa siri za seikal kwa cdm?
 
Chahali kwanini unateseka na Chadema , chama ambacho hakijawahi kukupa maisha ?
 
Siyo siri jibu lako kwa Chahali limetulia. Ni mmoja aliyeshindwa na mfumo amejipachika na usemaji wa masuala yaliyomshinda. Naomba next awe yeye arejee au arejeshwe kwenye kitengo hata apandikizwe CHADEMA akumbane na akili kubwa. .
 
Evarist kuwa mkweli kwa nafsi yako !!. Cdm wafanye nini kwa chama kisicho na dola. Tena iliyodhibitiwa kufanya hata shughuli zao za ndani acha siasa ?!.

Katika kuondoka kwa Lowassa ilikuwa ni swala la muda tu . Alipata mwaliko Ikulu akaamua kwenda mwenyewe. Utawalaumu Je Cdm ?!. Ni kweli kuwa Cdm inatakiwa ijitathmini ni kwanini mbinu za adui zinapata mashiko chamani. Na hii wapinzani wao hutumia vyombo vya Dola, na vya maamuzi kuhakikisha wanaidhoofisha uimara wa upinzani kwa ujumla .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Agreed,if his performance is poor,why are still up with him?, are you waiting to insult him after depar, as you do now to Lowassa?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chahali kwanini usiseme direct, kila siku unasema kuna mbunge wa upinzani ni wa kitengo mbona humtaji? Kama siyo kutafuta attention!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…