Dear board....

Sabry001

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,064
353
Salam zangu ziwafikie, mimi mpaka leo cjapata vile vijisent vya kujikimu. Mtoto wa kimaskini mimi mwataka nife? Ofisi ya mkopo hapa chuo wanadai hujawatumia pesa zangu ni kweli? Nakuomba ule utaratibu wa zamani kwamba unanidepositia boom wewe urudi la sivyo mtakuja tuua sie! Najua umejua naungua jua na njaa yataka niua....harakisha nsije kufa kwa njaa...si unajua njaa haina jasiri? Akhsante!
 
Back
Top Bottom