Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,123
- 165,988
Daaah hii hali ni mbaya sana!
Nahisi ulistahili kupata sifuri!
Yani hata huu uzi ufutwe kabisa
Ngoja ni waite walimu wako wajionee wenyewe !
Cc snowhite, gfsonwin , Evelyn Salt, Baba V
ama kweli masala kenho!regan morgan, Makoye ni maajabu sio matatizo.
wewe ndo fisadi wa kesho.rudia mtihani,ukishindwa fanya kitu cha halali kitakachokuletea mkate wa kila sikuHey there
Wakuu nahitaji kusafisha cheti changu cha form 4, kuongezea pass 1 tu katika masomo niliyo chemsha.
hii ni ili kuweza kukidhi qualification entry za chuo (certificate level).
natafuta mtu anaye deal au anajua connection na watu wanaoweza kurekebisha mambo kwenye system na wakatoa cheti kingine.
naongelea ku change kabisa matokeo ya nacte sio vile bandia vya mtaani
Nipeni connections.
Since its confidential issue, please reply on PM
ingawaje mi si msukuma ila nimekaa sana kanda ya ziwa, labda kisukuma kitakuwa kimebadilika siku hziregan morgan, Makoye ni maajabu sio matatizo.
regan morgan, Makoye ni maajabu sio matatizo.
mkuu piga 911 afu ueleze shida yako
Hey there
Wakuu nahitaji kusafisha cheti changu cha form 4, kuongezea pass 1 tu katika masomo niliyo chemsha.
hii ni ili kuweza kukidhi qualification entry za chuo (certificate level).
natafuta mtu anaye deal au anajua connection na watu wanaoweza kurekebisha mambo kwenye system na wakatoa cheti kingine.
naongelea ku change kabisa matokeo ya nacte sio vile bandia vya mtaani
Nipeni connections.
Since its confidential issue, please reply on PM
Ruttashobolwa mbona hawa waalimu wenyewe ni vilaza, wamefoji vyeti vya chekechea na msingi?
Daaah hii hali ni mbaya sana!
Nahisi ulistahili kupata sifuri!
Yani hata huu uzi ufutwe kabisa
Ngoja ni waite walimu wako wajionee wenyewe !
Cc snowhite, gfsonwin , Evelyn Salt, Baba V