seleman msumeno
JF-Expert Member
- Apr 26, 2015
- 202
- 34
Wasalaam wanajukwaa
Tafadhali sana naomba kujua na kufahamishwa kuhusu tarehe ya mwisho katika kuripoti na kufanya registration kwenye vyuo mbalimbali hapa nchini hasa katika vyuo vya serikali .
Wanafunzi wengi wa mwaka wa kwanza mpaka muda huu wameshindwa kuripoti vyuoni na kufanya registration kwani mpaka sasa hawajaweza kunufaika na mkopo na wengine wakisubiri third batch ya majina ya mikopo wajue kama wamenufaika ili waweze kuripoti vyuoni walikopangiwa
Hivyo basi mwenye kujua deadline ya vyuo kufanya registration aweze kutueleza hapa kwani wanafunzi wengine pia hawajaripoti kwasababu bado wanatafuta tuition fee kwa ajili ya vyuo vyao