Deadline NACTE ni leo-20/08/2017

Hivi tarehe 14/9 waliosema watatoa majibu je inaweza kuwa mapema kabla ya hapo....
may be according na mchakato wa kazi utakavyokuwa... but dont worry siku zinakimbia 14/9 utaiona kama kesho tu
 
Niko nang'ang'ana kufanya application ya education, nilifanya ya health, wananiambia tayari Niko registered sasa nifanyeje wakuu? Ina maana hawaruhusu Ku apply education wakati ume apply health?
Mbn mm niliaply health na education kwa uwo muhamala mmoja tu!!!. Maybe yawezekana coz mimi niliaply mapema kabsa kabla awajabadirisha amount, maana nililipia 30Tsh ndo maana awakunitaka niongeze tena.

New bloom sweeps well but old one knows every corner!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…